jana nilikuwa naangalia taarifa ya habari tbc nikamuona mh.dr.dr.kikwete akizindua rasmi awamu ya pili ya mpango wa elimu ya sekondari katika kutekeleza mdgs. Katika hotuba yake alisisitiza kuwa ili nchi yeyote ile duniani iendelee kimaendeleo inahitaji watu wa daraja la pili...na kwa tanzania watu hao ni wale waendesha ma-baloon na wenye elimu ya sekondari.....kweli naamini kabisa kuwa mheshimiwa haelewi kwa nini tanzania ni maskini, ishu hapa sio waendesha ma-baloon bali ni uongozi mmbaya wenye rushwa na usioheshimu demokrasia (siasa safi).
Ili nchi yeyote ile iendelee inahitaji ardhi, watu na uongozi bora (siasa safi), tz tuna ardhi ya kumwaga, watu kibwena ila tatizo ni uongozi....mheshimiwa wake up, tabaka la kati sio waleta maendeleo, bali sera safi, na uongozi bora ndo kitu muhimu kwa sasa...hayo mabaloon yasikufanye uamini kuwa wa-tz wameendelea, zaidi ya asilimia 87 ya watanzania wanaganga njaa kupindukia.
is he serious ..au mmemkariri vibaya.....kweli mtu ambaye alishawahi kusomaga uchumi miaka ya 70 anaweza kusema hayo???????....hivi mnajuwa magari yote nchi hii hayazidi milioni moja......au mnadanganyika na hayo magari ambayo hayana mahali pa kupita????.....na kufikiri hao ndio watanzania ...nchi bado maskini,watu maskini ..kwa viwango vyetu hata mmiliki wa boda boda anastahili kuitwa mwenye uwezo....wachache wenye magari hao ni mamilionia...hawajafika hata asilimia 5% ya wananchi......bila shaka tabaka la kati tena lenye nguvu ni muhimu...tatizo bado hatuna tabaka la kati lenye nguvu ...
Jana nilikuwa naangalia taarifa ya habari TBC nikamuona Mh.Dr.Dr.Kikwete akizindua rasmi awamu ya pili ya mpango wa elimu ya sekondari katika kutekeleza MDGs.
Katika hotuba yake alisisitiza kuwa ili nchi yeyote ile duniani iendelee kimaendeleo inahitaji watu wa daraja la pili...na kwa Tanzania watu hao ni wale waendesha ma-baloon na wenye elimu ya sekondari.....
Kweli naamini kabisa kuwa mheshimiwa haelewi kwa nini Tanzania ni maskini, ishu hapa sio waendesha ma-baloon bali ni uongozi mmbaya wenye rushwa na usioheshimu demokrasia (siasa safi).
Ili nchi yeyote ile iendelee inahitaji Ardhi, Watu na uongozi bora (siasa safi), TZ tuna Ardhi ya kumwaga, watu kibwena ila tatizo ni Uongozi....
Mheshimiwa wake up, tabaka la kati sio waleta maendeleo, bali sera safi, na uongozi bora ndo kitu muhimu kwa sasa...hayo mabaloon yasikufanye uamini kuwa Wa-Tz wameendelea, zaidi ya asilimia 87 ya Watanzania wanaganga njaa kupindukia.
is he serious ..au mmemkariri vibaya.....kweli mtu ambaye alishawahi kusomaga uchumi miaka ya 70 anaweza kusema hayo???????....hivi mnajuwa magari yote nchi hii hayazidi milioni moja......au mnadanganyika na hayo magari ambayo hayana mahali pa kupita????.....na kufikiri hao ndio watanzania ...nchi bado maskini,watu maskini ..kwa viwango vyetu hata mmiliki wa boda boda anastahili kuitwa mwenye uwezo....wachache wenye magari hao ni mamilionia...hawajafika hata asilimia 5% ya wananchi......bila shaka tabaka la kati tena lenye nguvu ni muhimu...tatizo bado hatuna tabaka la kati lenye nguvu ...
Kusema ukweli naombea hapa mheshimiwa awe amekuwa "misquoted". Kama ni ukweli basi we are in deep trouble.......he could have put his economics degree into practice in this matter........but again no comments on that front...
Ni kweli alisema hivyo,akisistiza umuhimu wa kuwa na middle class kubwa,akasema duniani pote middle class ndo nguzo ya kunyanyuka kwa uchumi,majority wanapokuwa lower class ni ngumu sana,tunabaki chini............Its not surprising at all when it come sfrom him,he was very confident whe talking!!!:smile-big:
Alikuwa sahihi. Nchi yoyote kuendelea inahitaji kujenga "middle class" ambayo "definition" yake inatofautiana nchi moja hadi nyingine. Lakini kwa Tanzania ni ukweli kuwa daraja la kati (middle class) ni hao wanaoendesha ma-"baloon". Inawezekana ni ya mikopo, lakini ukweli ni kuwa hawa wana kipato kiasi kwamba mabenki yamewaona wanakopesheka.
Hawa watu wa aina hii "proportion" yao inapokuwa kubwa katika nchi, ni ukweli kuwa hiyo inakuwa ishara ya mafanikio kwa nchi. Tanzania tukifikia level ambapo asilimia 80% ni hawa waendesha mabaloon, basi tumetoka. Serikali inatakiwa ijenge mkakati madhubuti wa kuhakikisha hili tabaka linakuwa kwani hawa ndo consumers. Uchumi ukiwa na consumers, viwanda vitajengwa kwani soko ni kubwa.
Hapa rais kasema ukweli. Tunaweza kutofautiana maoni ya jinsi gani ya kufikia kiwango cha kuwa na majority ya watu wetu katika daraja hili la kati, lakini ukweli ni kuwa tunahitaji kuwa na "strong middle class" kwa wingi.