Daraja la Dr. Dau

Mohamed Said siwajawahi kuona hat siku moja waislamu wakiandamana kupinga dini yao kutumiwa na magaidi na kujinasibisha uislamu na ugaidi kama mapacha walioungana.

Tumeshuhudia waislamu duniani kote kuhusu Palestine, lake ni sijawahi kuona popote dunini waislamu wakiandama kuyakemea makundi haya ya kigaidi yanayoundwa na waislamu, kun siri gani hapo? Mtoto mdogo tu alikojolea u kitabu cha Qur'an kuthibitish kwamba hatodhurika lolote kwa kuikojolea matokeo yake mkaanza kuchom makanisa kwa ushindani wa watoto tu, ndio maana msimamo wangu utabaki palepale siamini kama huyu mnayemwita allh kama ni huyu Mungu nnayemjuwa mimi mwingi wa rehema na mweza wa yote,

Mungu haitaji kupiganiwa na binadamu yeye anajipigania na ni mweza wa yote, hizi sifa zote naona zinakosekana kwa allah ambaye anahitaji msaada wa binadamu kutetea uwepo wake.
 
Matola,
Usomi unahitaji sana kuijua ''adab ya ilm'' kwani elimu ina
adabu zake kama vile kufanya mjadala kuna sheria zake
ambazo unahitaji uzifahamu.

Kwani laiti ungelisoma kwanza nilichokuwekea huenda
usingekuja na maneno haya ya ''kuchoma makanisa.''

Kuchoma makanisa kama kweli kuna Waislam walifanya
hivyo hilo si katika mafunzo ya Uislam.

Nikupe mfano.

Leo hii Kanisa limetikiswa sana na ushoga na kulawiti
watoto wadogo.

Lakini mimi najua haya si katika mafunzo ya Yesu Kristo.

Sasa ikiwa mimi nitashikilia kuliandama Kanisa kwa hilo
nitakuwa nafanya makosa.

Sasa jitulize usome usifanye haraka ya kujibizana na mimi.
 
Mkuu huyu jamaa Mohamed Said hana tofauti na ISIS.
Nia na madhumuni yake ni ku-Islamicise mawazo ya kila mtu, na pengine kuunda Caliphate ndani ya Tanzania!
Masopakyindi,
Si wepesi kufanya majadiliano na mimi.
Toka mwanzo nilijua hutofika mbali.

Wala sikulaumu.
Mimi nina ''advantage,'' nyingi dhidi yako.

Kwanza umri wangu ni mkubwa sasa mimi
ni mzee na nimesoma historia na mambo
mengine.
 
Hizi akili namshukuru Mungu hakuzinipa! Tanzania kuna wasomi kibao hawana ajira
Umeshindwa kumuelewa anasemaje. Soma tena kwa utulivu. Muwe mnatumia muda kutafakari, hata hivyo ni post nyepesi kueleweka.
 
Masopakyindi,
Si wepesi kufanya majadiliano na mimi.
Toka mwanzo nilijua hutofika mbali.

Wala sikulaumu.
Mimi nina ''advantage,'' nyingi dhidi yako.

Kwanza umri wangu ni mkubwa sasa mimi
ni mzee na nimesoma historia na mambo
mengine.
Fanyia kazi kile nilichokushauri, hili gazeti ndio limesababisha Ombeni Sefue awekwe kando.

Save hii copy utanikumbuka.

 
Umenena vyema mkuu.wewe kwel mtafiti
 
Matola,
Sidhani kama unanikusudia mimi nijadili yanayoandikwa na magazeti.
Sasa sheikh wangu kati ya habari za magazeti na porojo za vijiwe vya kahawa vya kariakoo ni habari ipi yenye credibility ya kujadiliwa kwenye platform za wasomi kama JF?

Hakuna atakayesalimika kwenye fagio hili la chuma.

 
Sasa sheikh wangu kati ya habari za magazeti na porojo za vijiwe vya kahawa vya kariakoo ni habari ipi yenye credibility ya kujadiliwa kwenye platform za wasomi kama JF?

Hakuna atakayesalimika kwenye fagio hili la chuma.

View attachment 339779
Matola,
Labda nikufahamishe kitu.
Sisi Waswahili barza za kahawa ni moja ya utamaduni wetu.

Sisi hatutumii ulevi kwa hiyo kukutana kwetu bila shaka haiwezi
kuwa kwenye baa ya chibuku nk.

Sisi tunakutana kwenye vijiwe vyetu.
Na kila mtu ana barza yake utamkuta hapo baada ya kazi.

Sasa hizi barza ziko za namna nyingi na kila makamu.
Kuna barza utawakuta watu wa mpira Simba, Yanga nk.

Mfano barza maarufu kwa siku za nyuma ilikuwa Asante Tololo
Mtaa wa Jangwani.

Hawa ni watu wa mpira.
Sasa zipo za watu wa siasa nk. nk.

Katika barza hizi zote zenye kuheshimiwa sana ni barza nje ya
misikiti.

Hizi ni barza watu wanasoma dini.

Barza maarufu Kariakoo ni ile ya Msikiti wa Sheikh Idris Bin Saad
na barza ya Msikiti wa Manyema.

Lakini zipo nyingi Dar es Salaam nzima.

Unaniuliza kuhusu, ''credibility,'' ya kipi tukizungumze sisi watu
wa Kariakoo katika vijiwe vyetu.

Hii ni ''subjective,'' kama nilivyoonyesha hapo juu.

Ningependa unifahamishe katika vilabu vyenu vya ulevi ni kipi
''credible,'' huwa mnazungumza.
 
Masopakyindi,
Si wepesi kufanya majadiliano na mimi.
Toka mwanzo nilijua hutofika mbali.

Wala sikulaumu.
Mimi nina ''advantage,'' nyingi dhidi yako.

Kwanza umri wangu ni mkubwa sasa mimi
ni mzee na nimesoma historia na mambo
mengine.
Ungejua kwamba nimesoma na akina Marijani Rajabu, Tambaza, ungeshangaa sana.
Nia yako ni ovu na haina mwelekeo wa kujenga Tanzanua yenye umoja.
 
Na sifa yenyewe ya huu mjadala si nyingine bali ni imani yake, asili yake, nasaba yake na pale alipotoka. Sijawahi kuona Mohammed Said alimsifia positively mtu wa imani nyingine, it's a pity
 
Na sifa yenyewe ya huu mjadala si nyingine bali ni imani yake, asili yake, nasaba yake na pale alipotoka. Sijawahi kuona Mohammed Said alimsifia positively mtu wa imani nyingine, it's a pity
Na hapo ndipo mjadala unapokosa hoja jadilifu.
Open forum huwa zinakuwa na mada ambazo hazitufanyi ku - sympathize.
Kuna watu wapo hivyo tu mtazamo wake kuhusu mtu unaamuliwa na dini,nasaba,asili ya mtu huyo.
 
Na sifa yenyewe ya huu mjadala si nyingine bali ni imani yake, asili yake, nasaba yake na pale alipotoka. Sijawahi kuona Mohammed Said alimsifia positively mtu wa imani nyingine, it's a pity
Mkuu huyu jamaa Mohamed Said hana tofauti na ISIS.
Nia na madhumuni yake ni ku-Islamicise mawazo ya kila mtu, na pengine kuunda Caliphate ndani ya Tanzania!

Na hapo ndipo mjadala unapokosa hoja jadilifu.
Open forum huwa zinakuwa na mada ambazo hazitufanyi ku - sympathize.
Kuna watu wapo hivyo tu mtazamo wake kuhusu mtu unaamuliwa na dini,nasaba,asili ya mtu huyo.
Naona wengi sasa wameshatambua udhaifu mkubwa wa mtoa mada Mohammed Said.
Hata akiiona jiwe atataka ushauri wa wazee wa DSM na jinsi muonekano wake ulivyo kiislamu.
Kitu ambacho ni kosa kwa mustakabali wa nchi.
Mohammed Said haamini kuwa watanzania wengine wasio waislamu wanafikra za umoja wa nchi hii bila kubagua dini, kabila rangi au sehemu anayotka.
(NB Jiwe hilo kama litakuwa na dhahabu patakuwa hapotshi)
 
Ivi gazeti la leo sindio limesema Dau anahisa Newcastle united ya england....na utajiri wa bilion 100.
Bado anasifiwa tena..kwa mbwembwe....kweli...common sense is uncommon pia sometimes
 
Mkuu Maalim nimefarijika sana na posti yako hii, Mungu akubariki sana na kumbariki huyo Mseminari Mwalimu Paulo, kwa kikiona kipaji chako, na kumfuata Mama yako kumshauri wakupeleke shule, ambayo ndio imekuwezesha kufika hapo ulipo sasa!. Just imagine bila Mwalimu Paulo, ungekuwa wapi na ile ilmu ya Madrassa pekee?!.

Hoja ya "shukrani ya punda mateke inakuja kwa jinsi unaushadadia udini as if Misheni ndio chanza na sababu za kuzorota kwa Waislamu kielimu, kumbe sababu unaijua ila kamwe huisemi, na wengi wa Waislamu walielimika sana Tanzania wa enzi hizo, walisomea shule za misheni, na hawakuitegemea elimu ya madrasa pekee!.

Mkuu Maalim nakii wazi kuwa pamoja na udini wako, lakini angalau wewe ni mstaarabu sana ka Waarabu!, itumie ilmu yako, na ushawishi wako, kuwatuliza wafuasi wako wa humu jamii forums pale unapowaona wamevuka mipaka!. Kitendo cha wewe maalim wao kuwa mstaarabu, uliyestahaabishwa na elimu ya mission, wafunze na wenzio humu ili angalau wakaibiane na wewe!.

Naamini unanielewa nazungumzia nini!.

Ahasanta.

Pasqwa!.
 
Alhabiby Pasqwaa,
Bila shaka una birika lako la gahawa hapo na umevalia msuli wako huku ukibofyabofya JF, leo naona wafwanda kimuscat, umenikumbusha sheikh wangu wa Oman Barubaru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…