Daraja hilo, wenyewe wamezoe ati

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
545631_455684787792467_1594016128_n.jpg
 
Maana wanaenda shule nguo sizitatota maji. I have seen the documentary, its heart breaking! Jionee hapa [video]http://www.telegraph.co.uk/news/worldnews/asia/indonesia/9027778/Indonesian-children-cross-collapsed-bridge-to-reach-school.html[/video]
 
vipi hao binti waliojivisha tambala vichwani???? uzoefu wangu wa kuzaliwa kanda ya ziwa ni kwamba ikitokea wakala mweleka hadi majini hilo tambala litawapeleka mbele ya haki chap chap. Hapo inabidi somo la health and safety lifundishwe madarasani lol!!!!
 
Lugha yako ni ya kukera ndugu yangu, haikupunguzii lolote kuwa na lugha za kistaarabu> Hilo unaloliita tambala wenzio wanalithamini ndio maana wamevaa
 
vipi hao binti waliojivisha tambala vichwani???? uzoefu wangu wa kuzaliwa kanda ya ziwa ni kwamba ikitokea wakala mweleka hadi majini hilo tambala litawapeleka mbele ya haki chap chap. Hapo inabidi somo la health and safety lifundishwe madarasani lol!!!!

Tembea ujifunze na ustaarabu wa wengine,, hayo unayoyaita matambala kwa wenzio yanathamani kubwa sana, kuliko hata hizo suti zako.
 
sasa na hao wanafunzi kwann wananing'inia kwa nje si wapitie ndani kama wenzao
 
Maana wanaenda shule nguo sizitatota maji. I have seen the documentary, its heart breaking! Jionee hapa [video]http://www.telegraph.co.uk/news/worldnews/asia/indonesia/9027778/Indonesian-children-cross-collapsed-bridge-to-reach-school.html[/video]

MadameX, Asante kwa link
 
..Kule kwetu kulikuwa na daraja kama hili tunaita KITYEPUTYEPU. vile sijarudi siku nyingi sinauhakika kama bado lipo. wenzangu wa KISYOSYO watanisaidia kama bado lipo au mbunge wetu amesaidia kulibadili. NAJUA WAPO HUMU JF.
 
vipi hao binti waliojivisha tambala vichwani???? uzoefu wangu wa kuzaliwa kanda ya ziwa ni kwamba ikitokea wakala mweleka hadi majini hilo tambala litawapeleka mbele ya haki chap chap. Hapo inabidi somo la health and safety lifundishwe madarasani lol!!!!

Wagalatia bana .......hamnazo kweli ! Hilo tambala(Hijab) ni vazi tukufu kwa mwanamke; Maryam (Bikira Maria) naye alilivaa na wale Watawa (Nun) huvaa pia !
 
..Kule kwetu kulikuwa na daraja kama hili tunaita KITYEPUTYEPU. vile sijarudi siku nyingi sinauhakika kama bado lipo. wenzangu wa KISYOSYO watanisaidia kama bado lipo au mbunge wetu amesaidia kulibadili. NAJUA WAPO HUMU JF.

Ni nchi gani hiyo?
 
Wagalatia bana .......hamnazo kweli ! Hilo tambala(Hijab) ni vazi tukufu kwa mwanamke; Maryam (Bikira Maria) naye alilivaa na wale Watawa (Nun) huvaa pia !
Ohh! kumbe hiyo ndo inaitwa hijab? sikujua kuwa ina thamani kubwa kushinda maisha ya mtu
 
Hivi kuna anayekumbuka lile la Kondoa - kidogo lilikuwa linafanana na hili.
lile la kondoa nimeshawahi kuliona ila sasa hivi si wameshajenga daraja lingine ..................siku ya kwanza kufika kondoa mimi nilidhani lile daraja ni kwa ajili ya watu wa skauti kumbe siyo.
 
Maana wanaenda shule nguo sizitatota maji. I have seen the documentary, its heart breaking! Jionee hapa [video]http://www.telegraph.co.uk/news/worldnews/asia/indonesia/9027778/Indonesian-children-cross-collapsed-bridge-to-reach-school.html[/video]
duh so sad .............
 
Back
Top Bottom