lakini nikiangalia urefu ra man made river kama unavyosema inanipa dhamira ya wanadamu kujiletea maendeleoAkili tu za mwanadamu mkuu. Huo mto wa juu ni wa kutengeneza.
Ni kweli ndugu Ruhi. Hii inatuonesha kuwa hapa kwetu tukidhamiria kweli kuna mambo mengi sana tunaweza kufanya kuboresha maisha yetu kama taifa. Tuombe Mungu nia njema ya JPM itusaidie kujenga misingi ya kutupeleka kwenye mambo makubwa yatakayobadilisha uchumi na maisha ya wananchi.lakini nikiangalia urefu ra man made river kama unavyosema inanipa dhamira ya wanadamu kujiletea maendeleo
Ni kweli ndugu Ruhi. Hii inatuonesha kuwa hapa kwetu tukidhamiria kweli kuna mambo mengi sana tunaweza kufanya kuboresha maisha yetu kama taifa. Tuombe Mungu nia njema ya JPM itusaidie kujenga misingi ya kutupeleka kwenye mambo makubwa yatakayobadilisha uchumi na maisha ya wananchi.
Kuna Matifa wanalinda maendeleo yao kwa kila namna na kila njia!! Lakini wao hao hao hawapendi kuona wenzao wakiendelea au kujitegemea...!!!lakini nikiangalia urefu ra man made river kama unavyosema inanipa dhamira ya wanadamu kujiletea maendeleo
mito miwili zinapishana huko Ujerumani, mie imenishangaza kweli
Asante sana mkuumito miwili zinapishana>>>>>>>>>>>mito miwili inapishana
na nyuma???Mbele ni mbele tu...
Nia njema ipi? tunabakia kutumbua upele na chunusi mpaka uchaguzi mwingine utukute hivi hivi, yule baba mwingine alitupa matumaini ya kuzidi haya, lakini miaka kumi tukabaki tunaota moto tunasubiri mawe yaive.Ni kweli ndugu Ruhi. Hii inatuonesha kuwa hapa kwetu tukidhamiria kweli kuna mambo mengi sana tunaweza kufanya kuboresha maisha yetu kama taifa. Tuombe Mungu nia njema ya JPM itusaidie kujenga misingi ya kutupeleka kwenye mambo makubwa yatakayobadilisha uchumi na maisha ya wananchi.
Huo nao ni mtazamo. Unaweza ukawa sawa au siyo sawa ila una haki ya kuwa na mtazamo kama huo hasa ukizingatia ahadi kemkem ambazo hazikutekelezwa kama tulivyotarajia. Mimi nimechagua kuwa na mtazamo chanya kuwa ipo siku tutapiga hatua tu kwenda mbele.Nia njema ipi? tunabakia kutumbua upele na chunusi mpaka uchaguzi mwingine utukute hivi hivi, yule baba mwingine alitupa matumaini ya kuzidi haya, lakini miaka kumi tukabaki tunaota moto tunasubiri mawe yaive.
mimi nimeweka mtazamo kuwa napiga hatua sasa kwenda mbele, sisubiri tena ahadi ya wanasiasa, nimeamua kuto shiriki kwa namna yoyote katika mambo ya kisiasa, namaanisha kuchagua au kuchaguliwa katika Nyanja yoyote ya kisiasa, sitompigia kura raisi, mbunge, diwani wala mwenyekiti wa kijiji, sijaona faida yoyote ya kuwa na watu nilio wataja hapo, hakuna any direct effect in positive way katika maisha yangu iliyo changiwa na hao watu, nimekuwa nikikatwa pesa lukuki kwenye salary yangu kwaajili ya makodi yasiyo reflect back to my daily life.Huo nao ni mtazamo. Unaweza ukawa sawa au siyo sawa ila una haki ya kuwa na mtazamo kama huo hasa ukizingatia ahadi kemkem ambazo hazikutekelezwa kama tulivyotarajia. Mimi nimechagua kuwa na mtazamo chanya kuwa ipo siku tutapiga hatua tu kwenda mbele.
Hapo chini zinapita gari,treni na boti.
mito miwili zinapishana huko Ujerumani, mie imenishangaza kweli
Asante sana mkuu
SHANGAI CHINA MAIN INTERCHANGE, Watu wanajenga interchange ya namna hii....watu watachelewa kwa foleni ya wapi?