Duh! Wewe Gold Member tayari na Organizer so naomba ujilipie mwenyewe! Afu fedha unayo. Kama vipi hakuna jinsi kabisa poa nitakulipia. Kaizer kagoma kukulipia?
Sasa New Year si nilikuwa Baby Boy ndo kwanza nazaliwa? katika zawadi ninazoendelea kuletewa yako bado sijaiona.
Kwa simu sipatikani kwa namba nilibadilisha. Imrbaki line moja tu ya kuleeeeeeeeeee zinakotengenezwa! Kama vipi ni-PM!
Afu kama AshaDii; Smile na Madame B hawaji itabidi mjipange upya maana hao ndo watu wa shughuli!
Nipo Dar Wing pia Mwanza Wing. Niwekeni humo. I will be there
nashukuru kwakukumbusha ila sina tatizo na hili gfsonwin ila je unaonaje ikafanyika friday ya tarehe 25??maana ukweli na jua nahizi siku kuu watu watakuwa hawajajipanga japo sikazi yangu kuwasemea naomba nijisemee kuwa mimi binafsi nitakuwa sijajipanga kwa tarehe hiyo!!ila na muomba madame b, asprin na gfsonwin zion daughter watu 8 amu na dar wingi ambao mtahamasika!!ila wewe smile unataka kutuchekesha kwani tanga ulikuwa unakunywa togwa??na zile turske??btw wote wanaopenda watoe pendekezo!
nipo na nitakuwepo....why not bana....
Mimi sinaga hzo trouser nyeupe. Nina alej nazo. Nije au nisije?
Duh! Wewe Gold Member tayari na Organizer so naomba ujilipie mwenyewe! Afu fedha unayo. Kama vipi hakuna jinsi kabisa poa nitakulipia. Kaizer kagoma kukulipia?
Sasa New Year si nilikuwa Baby Boy ndo kwanza nazaliwa? katika zawadi ninazoendelea kuletewa yako bado sijaiona.
Kwa simu sipatikani kwa namba nilibadilisha. Imrbaki line moja tu ya kuleeeeeeeeeee zinakotengenezwa! Kama vipi ni-PM!
Afu kama AshaDii; Smile na Madame B hawaji itabidi mjipange upya maana hao ndo watu wa shughuli!
Poa! Ila promise baada ya Party status yako ya Membership itabadilika kwa kuchangia JF. Kama vipi niambiwe michango inatolewa vipi!
mwaJ njoo uamulie. Afu ugomvi wenyewe siujui.
khaaa! nani akatae ofa kama hii lol!
haya mm namba moja utanilipia sawa?? kisa adhabu yako uniambie kwann salam zangu za new yr hukujibu?? tatu niambie kwann sim yako haipatikan wakati kuna ishu muhimu nilitaka kuongea na wewe??
Tatizo hicho kiwalo white, tutakuja na linen zinaonyesha sio mistari tu bali na rangu ya teitei. Pasco et al watakwazikajeee!
But seriously, parties with formal dress code zinakuwa kama kitchen party. Paw ntamvalishaje sasa?
halafu ole wako usije yaani tutagawana mbengee.
mimi ulinijulia wapi mkuu?
nitakuja na dereva wa mkuu wa mkoanipo na nitakuwepo....why not bana....