LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Smile shanlolya kifwaamu kya iwa molyi akwa kwa Prisoner 46664..........hahahahah!
Smile kwantiria nsoro ewu wako sumbai deny kyaa! lalu kwani nyashiidime irafo isha na mwolyi??
en shilembya lee, afanyie uwiny aluwaange lunde finga mbengye kwa lara.
ahaaa aisee nkuishi kokoro? woi iruva mbe ewe mbowi mwae? shifiya neewe!
MentorMhhhh ebu nipe link mbona sikuiona hiyo!??
hata wewe unakaribishwa.
Hehehehehe! sisi washika vyuma tunasemaga..... Factor Of Safety inakuwa ignored!!si ndio namsahngaa Jiwe Linaloishi anataka ukose uhondo!
sasa mwalimu avae za haiba darasani hata kweny white pary!
ah wapi!
na kijikuku ntaweka mguuni !chezeya mimi wewe nikiwa sijabanwa na scheme of work!
Hata mie nayashangaa haya mamjamaa. Si yangeenda tu Jukwaa la Lugha? Mambo ya White Party Daslam na Kimachame wapi na wapi bana? Dammmmnnnnn!!! Mi ndo maana sitahudhuria huo mpati wenu....Hivi nyinyi simungefungua uzi wa kabila la wachaga kuliko mnavyochakachua thread yenye mashiko? Hasa nyie 3 gfsonwin, Smile, Prisoner 46664
Hehehehehe! sisi washika vyuma tunasemaga..... Factor Of Safety inakuwa ignored!!
Nakusubiri mwalimu wangu, ila chonde chonde...... if you know what I mean.......:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Hata mie nayashangaa haya mamjamaa. Si yangeenda tu Jukwaa la Lugha? Mambo ya White Party Daslam na Kimachame wapi na wapi bana? Dammmmnnnnn!!! Mi ndo maana sitahudhuria huo mpati wenu....
Hivi nyinyi simungefungua uzi wa kabila la wachaga kuliko mnavyochakachua thread yenye mashiko? Hasa nyie 3 gfsonwin, Smile, Prisoner 46664
mwali mwali!
unatafuta balaa wewee!oh!
nauliza hiviiii! TUTARUDI NA ROHO ZETU?
cc cacico Jiwelinaloishi mwaJ Asprin Mtambuzi lara 1 Nicas Mtei charminglady amu Madame B Ruttashobolwa
#just asking
Heheheheh Stress/Strain = Constanthahahhhah! naona unaitafuta minimum factor of safety................... lol!
BTW hivi lkn kwani si lazima tupime tension of the still na bricks before??