Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,312
- 40,137
Unayatizama hafu unasema hiiiiiKuzama majini kusikie tu kunasiku ni lizama mguu ulinasa kwenye kitu kama kamba. Nilitumia kama dk14 ambazo niliona kama miezi mitatu. Nilivyo ponyoka ni kuvaa nguo na kutoka mbio. Hadi Leo maji na yatizana tu