Dar vs mkoani

Dar vs mkoani

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
IMG-20171128-WA0035.jpg
IMG-20171128-WA0034.jpg
 
Mtoto una utani na baba zako siku hizi?
Haha ba zuhura sio Al-watan wewe.. JCB kitaani anaitwa Al-watan..

Kwenye moja ya tracks zake kwenye Nakala za Makalla kuna track inaitwa Bwii kaimba na huyo chalii aliyepo naye.
 
Haha ba zuhura sio Al-watan wewe.. JCB kitaani anaitwa Al-watan..

Kwenye moja ya tracks zake kwenye Nakala za Makalla kuna track inaitwa Bwii kaimba na huyo chalii aliyepo naye.
Hahhhah naona vijana wamemuotea chalii aseee
 
Nimeona picha yake ikabidi nianze kugonga ngoma zake hapa getho hapa naiskiliza Bongo fleva... Bonge moja la track.. Huwa silichoki
Yeh..ni track nzuri kinoma ebu fanya kuniwekea hapa bob....

Napenda alipochana niga..

Eyoo hatua moja mbele tano nyuma...
Odi nimelewa sijui .... naomba mje kunisukuma..kitambo..
 
Yeh..ni track nzuri kinoma ebu fanya kuniwekea hapa bob....

Napenda alipochana niga..

Eyoo hatua moja mbele tano nyuma...
Odi nimelewa sijui .... naomba mje kunisukuma..kitambo..
Poa buddah ngoja nikudondoshee fasta hapa
 
Haha ba zuhura sio Al-watan wewe.. JCB kitaani anaitwa Al-watan..

Kwenye moja ya tracks zake kwenye Nakala za Makalla kuna track inaitwa Bwii kaimba na huyo chalii aliyepo naye.
Niko bwii ina video Mkuu ?
 
Kwani hao wamikoani wanakula na fundo,maganda au wanakunywa juice tu? Hapo kuna watu ni advanced wengine ni primitive!
 
dalili za sindano kuingia
Huwezi kunielewa kama bado ni primitive, sina muda wa kuhangaika na muwa wakati meno yenyewe yashaanza kupungua na jirani kuna mtu kajifungulia kibiashara cha juisi ya miwa. Nyinyi endeleeni kula muwa kama nguruwe sisi wengine tutakula muwa in advanced way.
 
Mjini utatupa wapi maganda ya miwa na huo muda unaupata wapi wa kukaa ule muwa badala ya kuwahi foleni.
 
Back
Top Bottom