Dar Village Project in Dar es Salaam

tuwe wakwelii mbele za mungu. this project must be there where it is now. acheni ushamba na usiasa usio na kichwa wala miguu. ulitaka nani sasa awekeze kama sio huyu mtanzania mwenzetu????
 
Simu 2000 moja kati ya ufisadi mkubwa wa Mkapa na familia yake , majengo na plot za TTCL katika strategic areas kama vile Msasani,O'bay,city center na kwingineko na viwanja mbalimbali vimeuzwa ovyo ovyo kwa mafisadi. Afadha kile chuo wameuziwa UDSM angalao watoto wetu watasoma pale.Lakini swali kubwa pesa zilizokusanywa zilienda wapi ?
 

Ya nini yote hayo? bajeti zenyewe bado hazitutoshi, ni muafaka kabisa kuanza kupunguwa kwa majanga kwani uzazi wa majira na mpango hatuutaki.

Anaetowa uhai na anaetwaa uhai ni mmoja tu. Hata ufanye nini.
 
sijui nini kimemkumba jamaa

Nadhani Pesa walizoambiwa werejeshe BOT EPA.....S

Sometime huwa nafikiria na mimi niwe Mwizi manake Hakuna kufungwa na ukifungwa basi ni Mwaka mmoja tu....

Dont try this at Home Ukiiba labda iwe Pesa Nyingi na sio vijipesa utasahaulikia Jela
 

Moto unawaka KIbamba na foleni ya Ubungo zimamoto linatoka Ilala fire pale.

Likifika watu wanalitungua na mawe kwa hasira.
 
Naomba kuuliza hivi ule Mradi wa dar village watu walikopa ama walikua wanatumia hela zao za mfukoni?

kama walikopa hivi sasa ivi wanarejesha mkopo ama dhamana zao zimeuzwa mkopo ukarejeshwa?

Kama hayo yote hayajatokea je wanarejesha kwa vyanzo gani ilihali mradi hujakamilika hivyo haugenerate revenue?

Je inasubiriwa EPA ingine umalizike? ama inakuaje ........

Naomba kufahamishwa kwa wenye uelewa wa mradi ule hatua iliyofikia kwa sasa.
 

Hongera Zadock
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…