Dar usiku wa leo ulikua mrefu kuliko mchana!!!

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,348
5,977
Wakuu kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.
But kuna jambo la ziada jana usiku.
Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, jee ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?
Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimyaaaaaa!!!!
 
We itakuwa ulilala na vibwengo na sio bure
 
mambo ya kuchukuana misukule hayo...
Huku mikoani tunalalamika joto Je! huko Dar si mambo ya kulala nje..
 
Back
Top Bottom