CT SCan Mchina
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 1,311
- 285
Mkuu leo ni jumapili, kuna watu wengi wapo kwenye nyumba za Ibada na wengine wapo majumbani wametulia kwanza ili ibada ziishe then waje mitaani wakiFake nao walikuwa ibadani!!!
Please wape muda tu utawaona dakika za mwisho wamejipanga kwa misururu mirefu wakitaka kupiga kura.
Na kama unaweza tuma Sms kwa rafiki, jamaa, jirani nk ambaye yuko Mbagala kumsisitiza akapige kura sasa.
You can do anything to motivate them.
UNAFIKI Wa Wakazi wa Dar es Salaam Nimeugundua leo.
Sasa sielewi ni kutokana na wakazi WENGI kuhama maeneo husika (wakazi wengi wa Dar Ni wapangaji) .? Au Kuwepo kwa Watu ambao ni wapya na WALE waliotimiza Umri wa Kupiga Kura ila TOKEA 2010 hawakuandikishwa kwa UNAFIKI wa TUME ?
#NIMESIKITIKA KUONA HALI HII HAPA DAR.
Mkuu leo ni jumapili, kuna watu wengi wapo kwenye nyumba za Ibada na wengine wapo majumbani wametulia kwanza ili ibada ziishe then waje mitaani wakiFake nao walikuwa ibadani!!!
Please wape muda tu utawaona dakika za mwisho wamejipanga kwa misururu mirefu wakitaka kupiga kura.
Na kama unaweza tuma Sms kwa rafiki, jamaa, jirani nk ambaye yuko Mbagala kumsisitiza akapige kura sasa.
You can do anything to motivate them.
chadema inawapiga kelele na kuitika power kwenye mikutano lakini c wapiga kuru.ccm inawapiga kula na wapo wafia chama
ccm wana mbinu chafu 25 za kutawala
Nikweli naunga mkono hoja ndio maana hata mimi sipapendi dar kwa sababu ya ujinga wa wakazi wa huko,tena huwa nahisi niwahamiaji wa nchi majirani mana uoga,upuuzi na kutojari maisha ya vizazi vijavyo ndio akiri zao!
Jipe muda kidogo mkuu, kama vipi try to motivate any one Otherwise keep on watching wajanja wa kiCCM wasije wakapandikiza kura bandia.Nipo hapa kata ya MIANZINI nachojionea SIAMINI kama ndiyo hawa waliokuwa wanapeperusha bENdERa Zao.
chadema inawapiga kelele na kuitika power kwenye mikutano lakini c wapiga kuru.ccm inawapiga kula na wapo wafia chama
Hao wafia chama wa ccm mbona hawaonekani vituoni? Au kura wanapigia majumbani mwao?
Ndo maana ccm huwa wanaiba kura kirahisi
kweli kabisa. Yaani vyama vimefanya KAMPENI zake lakini wananchi HAWATAKI kupiga Kura.