Dar Updates: Zoezi la upigaji kura LIMEDORORA vituoni

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
1,311
285
UNAFIKI Wa Wakazi wa Dar es Salaam Nimeugundua leo.

Sasa sielewi ni kutokana na wakazi WENGI kuhama maeneo husika (wakazi wengi wa Dar Ni wapangaji) .? Au Kuwepo kwa Watu ambao ni wapya na WALE waliotimiza Umri wa Kupiga Kura ila TOKEA 2010 hawakuandikishwa kwa UNAFIKI wa TUME ?

#NIMESIKITIKA KUONA HALI HII HAPA DAR.
 
Nenda kwenye pombe na maguest house saa hizi uone walivyojazana, na kwenye kitimoto ndio usiseme kabisa. Dar ndio mji unaoongoza kwa kuwa na wakazi wa puuzi kuliko eneo lolote Tanzania.
 
muda wa kupiga kura ni mpaka sa kumi jioni sasa we haraka ya nn? Isitoshe kila mtu anakwenda kwa muda wake
 
Wametishwa na mabomu ya Arusha, na hilo ndiyo ccm wanalotaka!
 
Mkuu leo ni jumapili, kuna watu wengi wapo kwenye nyumba za Ibada na wengine wapo majumbani wametulia kwanza ili ibada ziishe then waje mitaani wakiFake nao walikuwa ibadani!!!

Please wape muda tu utawaona dakika za mwisho wamejipanga kwa misururu mirefu wakitaka kupiga kura.

Na kama unaweza tuma Sms kwa rafiki, jamaa, jirani nk ambaye yuko Mbagala kumsisitiza akapige kura sasa.
You can do anything to motivate them.
 
chadema inawapiga kelele na kuitika power kwenye mikutano lakini c wapiga kuru.ccm inawapiga kula na wapo wafia chama
 
UNAFIKI Wa Wakazi wa Dar es Salaam Nimeugundua leo.

Sasa sielewi ni kutokana na wakazi WENGI kuhama maeneo husika (wakazi wengi wa Dar Ni wapangaji) .? Au Kuwepo kwa Watu ambao ni wapya na WALE waliotimiza Umri wa Kupiga Kura ila TOKEA 2010 hawakuandikishwa kwa UNAFIKI wa TUME ?

#NIMESIKITIKA KUONA HALI HII HAPA DAR.

ccm wana mbinu chafu 25 za kutawala
 
Mkuu leo ni jumapili, kuna watu wengi wapo kwenye nyumba za Ibada na wengine wapo majumbani wametulia kwanza ili ibada ziishe then waje mitaani wakiFake nao walikuwa ibadani!!!

Please wape muda tu utawaona dakika za mwisho wamejipanga kwa misururu mirefu wakitaka kupiga kura.

Na kama unaweza tuma Sms kwa rafiki, jamaa, jirani nk ambaye yuko Mbagala kumsisitiza akapige kura sasa.
You can do anything to motivate them.

Nipo hapa kata ya MIANZINI nachojionea SIAMINI kama ndiyo hawa waliokuwa wanapeperusha bENdERa Zao.
 
ccm wana mbinu chafu 25 za kutawala

tatizo si CcM ni WANANCHI wenyewe ni WANAFIKI sana. Ingawa kidogo na TUME YA UCHAGUZI inabidi irEKebisHe muundo uliopo; Ikiwemo Kuhakikisha Eneo linalofanya UCHAGUZI basi Wananchi wa eneo husika KUANDIKISHWA kabla ya Kufikia MWEZI wa UCHAGUZI.
 
Nikweli naunga mkono hoja ndio maana hata mimi sipapendi dar kwa sababu ya ujinga wa wakazi wa huko,tena huwa nahisi niwahamiaji wa nchi majirani mana uoga,upuuzi na kutojari maisha ya vizazi vijavyo ndio akiri zao!
 
Mkuu wewe acha tu! MUNGU ashushe tu Neema yake. Huwezi amini eti WAZEE na WALEMAVU ndiyo pekee wanatiririka kupiga KURA. Nipo kata ya UCHAGUZI Mianzini-Mbagala.
 
Nipo hapa kata ya MIANZINI nachojionea SIAMINI kama ndiyo hawa waliokuwa wanapeperusha bENdERa Zao.
Jipe muda kidogo mkuu, kama vipi try to motivate any one Otherwise keep on watching wajanja wa kiCCM wasije wakapandikiza kura bandia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom