Dar tumebarikiwa.

mmmmh lakin hali ya hwe yenyewe hata haielewek inaweza kuchange muda wowote kuanzia sas
 
dar tumebarikiwa lakini hatuwezi kuwazidi Iringa. uzuri wa hii baridi ni kwa walio oa. mia
 
Hali ya hewa ni nzuri, hamna joto

ni Kweli joto Limechelewa kuanza Dar ila likinza ndio mwanzo wa kukimbiana kitandani.. juzi nilikuwa Moshi Marangu huko balaa baridi mpaka korodani zinaingia ndani.
 
nadhani hii thread utakuwa unaiandika ukiwa kwenye kiti cha kuzunguka katika moja ya maofisi hapo posta, na kwenye room iliyo na utulivu huku ukipigwa na kipupwe cha AC...
Ukitaka kujua Dar kuna joto kiasi gani...nenda ukatumbukie pale KARIAKOO SHIMONI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…