Walaumiwe washamba wa mbagala (....tunakusajili chap unaanza kutumia)Habari Wandugu.
Vodacom wamepunguza vifurushi vyao siku 2 zilizopita na watu wamelalamika kuhusiana na hilo. Wakaona haitoshi wakapunguza kifurushi cha chuo pia.
Na kabla ya hapo walipunguza unit katika pindua pindua. Sasa tena naona kama Dar Supa Uni pia imeingiliwa ndio mana nauliza Dar Supa Uni Vipi Tena wandugu...?
NAWASILISHA.
Wanatangaza kwa zile speakers habari ya kusajili line za chuo! Jambo hili limesababisha wateja wengi kusajiliwa huko na flow chart ya voda inaonyesha watumiaji wengi wako kwenye category hiyo!Kwa nini unasema hivyo kiongozi...?
Habari Wandugu.
Vodacom wamepunguza vifurushi vyao siku 2 zilizopita na watu wamelalamika kuhusiana na hilo. Wakaona haitoshi wakapunguza kifurushi cha chuo pia.
Na kabla ya hapo walipunguza unit katika pindua pindua. Sasa tena naona kama Dar Supa Uni pia imeingiliwa ndio mana nauliza Dar Supa Uni Vipi Tena wandugu...?
NAWASILISHA.
Huku kaskazini tunakula ofa ya 1500 dk 150 na dk 15 mitandao yote na 1gb kwa wiki. fresh
Wanatangaza kwa zile speakers habari ya kusajili line za chuo! Jambo hili limesababisha wateja wengi kusajiliwa huko na flow chart ya voda inaonyesha watumiaji wengi wako kwenye category hiyo!
Voda wameiona fursa hiyo waliyoitengeza bila kulipia matangazo wanaitumia ku maximize profit.
Waliotumika kutangaza bure ni wale wamachinga pale mbagala.