DAR: Sehemu ya Hoteli ya White Sands yawaka moto

DAR: Sehemu ya Hoteli ya White Sands yawaka moto

Hii Si ndio tulikuwa tunasikia Miaka ile kuwa ni Hotel ya Mzee wetu Ruksa?

ila Bima watalipa kwa kiasi chao walichoandikishiana... Bima ni Mkataba na Mkataba una vyanzo vyake vya Vyanzo vya Moto ila kama hakuna hivyo vyanzo no Malipo but Mahotel huwa wanakata Bima nyingi nyingi tofauti so kulipwa kupo pale pale... haswa Mali za Wateja,Mitambo n.k. So Acheni kusikitika kama Maisha hayajapotea au watu kuumia Wapeni Pole Bima zilizoshirikishwa kula Premium.. Ikiwepo Kampuni yetu ya Taifa TANRE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom