DAR: Sehemu ya Hoteli ya White Sands yawaka moto

DAR: Sehemu ya Hoteli ya White Sands yawaka moto

Nimeona habari kwamba hotel hiyo huko Tanzania ipo inateketea,

Chanzo cha moto bado hakijajulikana

IMG-20180831-WA0019.jpg
 
Pole kwa wenye Mali na wenye ajira ndio zimeota mbawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom