Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Huwenda Tecno imelipuka.
Be serious mkuu!!! So kithibiti kinazikwa?!Thamani zile kadhaa zilienda uku na Alibi haikuwepo so hapa tunazima kombe mwanaharam apite.
Wiki ya Zimamoto, Piga 114 kwa kuzuia majanga kwani cheche moja hupoteza maisha.
Wapige hiyo no kwa msaada zaidi
Umeona Sasa ndy namuambia mdau hapo watu wanafanyagakuna jamaa alishawahi choma semi yake sasa sijui alipata?
Bima huwa hawalipi kizembe kama unavyodhaniBima italipa
Hahaha SawaTufute comments zetu mkuu isijekuwa tunaharibu michongo ya watu.