Dar ni mji hovyo kabisa huwezi hata kuifikia Arusha

Mtoa mada upo sahihi kabisa, Dsm naifahamu vizuri nimekaa kwa muda mrefu

Ni kuchafu, kunanuka vinyesi ya chemba zilizoachwa hovyohovyo kwasbb ya poor sewage system, takataka mitaroni ni mingi kutokana na population kubwa, kuna foleni kubwa ya watu na Vifaa vya moto, kuna joto Kali mno.

Ni kuchafu sana na hakuna miti ya kutosha kwaajili ya vivuli na kuneutralize temperature ya jiji.

Pachafu, pahovyo, pananuka
 
Suala la maisha bora, huko unakozungumzia huwezi kusikia kuna njaa, ni kukame lakini kuna maziwa, nyama, na mahindi hata kama hawalimi basi wananunua...mpk Manyara ni hivyo

Ndio maana kwenye taarifa ya yule naibu Waziri mwaka Jana akitaja mikoa mitano yenye umasikini zaidi Tanzania baada ya tafiti akaitaja hadi Mwanza lakini mpaka top 20, hakukuwa na mkoa wa kaskazini hata mmoja.

DSM ni kama kuzimu
 
Nasoma comment yako afu nacheka tu hihihiiiii.... Dar inaboaaa 99.99% bisha hapa uko nyuma ya keyboard ila kwenye uhalisia huko mnahangaika vya kutosha.
Arusha haiboi wacha unafikii
Utapata shida kubishana na waimba taarabu wa Dsm, halafu wote wamefanana sio wanaume sio wanawake

Usiisahau hiyo ni dar
 
Yani vichalii vya arusha vikishavuta bangi akili yao inapotea kabisa ukweli ni kwamba arusha bado sana kuifikia dar tena bora hata mwanza kuliko arusha.
Chalii mbona hujaongelea lile vumbi la arusha.
Yaani wanawake wa Dar mnaizidi Arusha kwa mipasho tu na maneno mengi, vingine hakuna
 
Hivi ndivyo Dsm ilivyo kwa sehemu kubwa, leave away pollution, traffic jam n the like, huu ni muonekano tu
 
Nimecheka kama kichaa
eti miji mitakatifu
malalamiko haya ni kiboko yaani nimecheka hadi majirani nadhani wamesikia
 
Mnajisifu kwa foleni wakati mnapoteza muda.

Dar ndo kule ambapo mvua ya manyunyu ikinyesha kwa siku moja kuna furika maji?
 
Yani vichalii vya arusha vikishavuta bangi akili yao inapotea kabisa ukweli ni kwamba arusha bado sana kuifikia dar tena bora hata mwanza kuliko arusha.
Chalii mbona hujaongelea lile vumbi la arusha.
Ni kweli bado sana maana huko mvua ikinyesha unaweza jiuliza nipo dar au makete..
Mvua ndo inatupa taswira khalisi ya ilo jiji la dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…