Dar: Ndege ndogo yaanguka Kitunda, ilikuwa inatokea Mufindi

Hv videnge na helicopter huwa siziamin kabsa,vmeshaua watalii weng sana hvyo
 
Ndege ndogo aina ya Cessna 150G yenye usajili wa TCAA namba 5H-BOB imeanguka leo jioni katika eneo la Kitunda Mnadani/relini. Ndege hiyo ilikuwa katika hatua za mwisho kabla ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

Taarifa zinasema kulikuwa na watu wawili ndani ya ndege hiyo na wote wametoka wazima, hakuna majeruhi.

Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika, vyombo vya usalama vinaendelea na uchunguzi.

Hii itakua ndo boda boda yao huko angani.
 
pILOT ALIKUWA NA DEMU WAKE.ANAISHI PALE.KITINDA AKAMWONYESHA ANAWEZA KUTUA HAPO KWAO BILA KIBALI
CONGS MADADA ZETU
ILA MNAOKAA KITUNDA MTASHAA KUTOHAMA.SIKUMOJA BORING IKITUA KWENYE MABATI YENU
 
Mnao uhakika ni ndege kweli? Sio zile tunazoambiwa imetunguliwa na "wataalamu"

Mwaka jana maeneo ya hukohuko Ukonga, sehemu inayoitwa Banana karibu kabisa na Mamlaka ya Anga kuna Mwanamke inasemekana alitunguliwa na "wataalamu wa mambo" akaangukia kwenye Paa la nyumba iliyopo maeneo hayo.
 
yule mama alitapeliwa alikua na madeni akakutana na waganga feki ndio wakamfanyia ule mchezo
 
Hiyo itakuwa imetua kawaida tu, maana vitu vinavyoanguka wote tunajua huwa vinakuwaje vikifika chini.
 
Back
Top Bottom