Dar Mvua kidogo tu, watu wanakaa nyumbani na shughuli zinasimama

Zekidon

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,903
566
Mji wa Dar huwa una maajabu yake mvua zikinyesha.

Ikipiga masaa mawili tu.

Waliopo majumbani hawatoki tena.

Shughuli zinasimama.

Foleni kubwa kila mahali.

Wapo wanaopata kazi ya kutoa maji ndani.

Boda boda na Bajaji wananeemeka.
 
Duuh mkuu, nimekulia kwenye taasisi ya elimu ya juu.

Yaani utoto wangu nimecheza kombolela kwenye lecture halls.

Yaani pale ambapo wengi wenu ndio pamewafanya mfike mjini kwa Mara ya kwanza ndiko nilikozaliwa.
acha zarau.sis wenyewe pia tumekulia huko huko.hapo mliman city ndio tulikua tunapenda kweli kuja kuokota mabibo.mana kulikua na mikorosho ming kweli.pori tupu enzi hizo.hostel za mliman main campus usiku naziona zilee.way back 1994

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh mkuu, nimekulia kwenye taasisi ya elimu ya juu.

Yaani utoto wangu nimecheza kombolela kwenye lecture halls.

Yaani pale ambapo wengi wenu ndio pamewafanya mfike mjini kwa Mara ya kwanza ndiko nilikozaliwa.
Hata chawa na kunguni huwajui wakoje!! Astakafillulah!!!
 
Hizi ndio zile ID wamiliki wake jinsia zao haziendani na majina yao.

Nsije nkaonekana mjinga kugombana na mwanaume wa design yako

Mwanamke wako ashashika mimba tayar au umeenda kupandikiza mbegu kwingne mkuu?
 
Back
Top Bottom