Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 528
Akitaka kucheza ngoma ya ukweli aifungue hiyo redio. Anadhan kama madhaifu mwanahalisi hiyo redioredio iman.
Utafanya nini wewe yahe,wewe ni mtawaliwa tu.Unajitutumua wakati huna lolote!Akitaka kucheza ngoma ya ukweli aifungue hiyo redio. Anadhan kama madhaifu mwanahalisi hiyo redio
Hapo mkuu wa mkoa atakuwa ameongeza vibaka maana Yesu si Mungu ndiyo ilikuwa ajira yao ya kukusanya sadaka

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.
Ameonya pia dhidi ya vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa