Kipindi cha Nyuma unga anakamatwa nao Mtu...Ukienda kwa mkemia wanasema ule Ulikuwa unga wa ngano au glucose Kumbe watu washahamisha magoliWakemia wakagueni wana utajiri wa kutisha, wanakula pesa nyingi kubadilisha matokeo. Unga wanasema sembe.
Hawa hata kama wamebambikiwa mzigo sawa tu. Hivi huyu Lwitiko a.k.a Tiko nae kapelekwa USA? Ule mjumba wake pale magomeni makanya ni noma aiseeDCEA wanafanya kazi nzuri sana kuthibiti madawa ya kulevya!
ila mbinu zao za siku hizi zimekuwa za kimafia sana, why kila papa anayekamtwa anakuwa na gramu 250 ? rejea wakina HARIRI,BABU MTAMA MCHUNGU na wengine wa kinondoni..... kwa kifupi hawa mapapa wengi wameacha ila kuna funnunu kuwa kwa kuwa wamewatesa sana watanzania lazima wakanyee debe(eti wanapandikiziwa 250 gm kwqakuwa kwa sheria mpya haina dhamana)
ila pendekezo langu kwa Mtu kama ayubu kiboko ni wakupelekwa Marekani kama kushitakiwa kama wakina ADAM TIKO na SCUBA Hapa bongo anweza akashinda kesi mapema tu
Kesi zitakazo watesa hao wauza semble ni human traffiking na money loundry.....DCEA wanafanya kazi nzuri sana kuthibiti madawa ya kulevya!
ila mbinu zao za siku hizi zimekuwa za kimafia sana, why kila papa anayekamtwa anakuwa na gramu 250 ? rejea wakina HARIRI,BABU MTAMA MCHUNGU na wengine wa kinondoni..... kwa kifupi hawa mapapa wengi wameacha ila kuna funnunu kuwa kwa kuwa wamewatesa sana watanzania lazima wakanyee debe(eti wanapandikiziwa 250 gm kwqakuwa kwa sheria mpya haina dhamana)
ila pendekezo langu kwa Mtu kama ayubu kiboko ni wakupelekwa Marekani kama kushitakiwa kama wakina ADAM TIKO na SCUBA Hapa bongo anweza akashinda kesi mapema tu
anaitwa shkubaNae ni kingping lakini sio kwa level hizo! Kwa bongo yule waliempeleka US ndio alikuwa mkubwa haswa.
washkaji zake itakuwa huwa huyo jamaa hamaanishi anachokifanya wala kuongeaBashite hakuwaona hawa wana mihadarati sugu akaishia kuzalilisha watu tu
tiko alisafirishwa pamoja na shukuba kwenda USAHawa hata kama wamebambikiwa mzigo sawa tu. Hivi huyu Lwitiko a.k.a Tiko nae kapelekwa USA? Ule mjumba wake pale magomeni makanya ni noma aisee
yani wamewasaidia kuondoa competition,sa hivi kitu kitapanda bei na waliobaki watanza kupush kwenye territory yake. hii ni vicious circle haiwezi kuisha. hahaa na ikiisha hao DCEA watakosa kazi lazima kuwe na balance katika kila kitu.Hatimae Escobar wa bongo kakamatwa
Jamaa pamoja na kuwa na mali nyingi lakini bdo aliendelea na hyo biashara duh. Ngoja wamsafirishe Marekani teh
Unauhakika na ukisemacho?Halafu lijamaa kama hilo unalikuta hata limefunga mwezi mtukufu halafu sadaka linatoa kubwa kweli!! lakini ndio hivyo tena anafanya nchi kuwa ya vichaa kwa madawa yake
Alimkosa s Mbowe ndiye taget nzima ya operationBashite hakuwaona hawa wana mihadarati sugu akaishia kuzalilisha watu tu
unauza na wewe lazimayani wamewasaidia kuondoa competition,sa hivi kitu kitapanda bei na waliobaki watanza kupush kwenye territory yake. hii ni vicious circle haiwezi kuisha. hahaa na ikiisha hao DCEA watakosa kazi lazima kuwe na balance katika kila kitu.
Ilikuwa ni kuharibu CV za watu tu *Kiki*Ali muons Mbowe ndiye taget nzima ya operation
oooh yes hata kina alex massaw utakuta kachangia mamilioni kanisaniHalafu lijamaa kama hilo unalikuta hata limefunga mwezi mtukufu halafu sadaka linatoa kubwa kweli!! lakini ndio hivyo tena anafanya nchi kuwa ya vichaa kwa madawa yake
yaani nikiangalia ,mateja huwa napata simanzi sanaMadawa yanaharibu sana future za vijana acha akamatwe tu
Mpaka itakapothibika vinginevyo'Mtuhumiwa'
hahaaaunauza na wewe lazima
Tuwekee picha ya Kiboko mkuu.Kesi zitakazo watesa hao wauza semble ni human traffiking na money loundry.....
Naona sahv padre yule wa kizungu atakuwa na ahuheni maana alikuwa analia sana na Kiboko
Ova