Kazingua sana hakutakiwa kukaa na mzigoMuuzaji anakaa na unga nyumbani usawa huu?!...wacha akanyee debe
Real men use 3 pedalsMuuzaji anakaa na unga nyumbani usawa huu?!...wacha akanyee debe
Safi sana....Kiboko muuza unga wa siku nyingi sana ameingiza makilo na makilo china...kuchukua muda mrefu kumkamata ilitokana na jamaa kuwahonga Hela maafisa kadhaaa......
Mtu kama huyu ni kumpeleka gereza Ngumu akapasue mawe tu atie akili.....
Ova
Ni kweli. Uzi wenyewe ni huu: Hatimaye mlanguzi wa madawa ya kulevya, Ayoub Mfaume (Kiboko) akamatwaAisee mkuu mbona sielewi elewi
Kuna Uzi wa Feb 2017 alikamatwa na Hawa Hawa DCEA sio polis tuliozoea wanahongwa
Halafu hii may 2018 anakamatwa Tena?
Ilikuwaje au ndo Mambo ya rupia yashatinga Hadi kitengo Cha Sianga?
Akili fupi wewe,hujuwi jambo lenye maslahi ya uma..unajali tumbo lako tu bila kujali jamii inaathirika vipi na namna unavyojaza tumbo lako.Kwahiyo kwako kuna added advantage zaidi ya hivyo ulivyo
Ahhha hhhha ahhha hii nadhani ni ukwweli mkuuSiyo porojo za RC za kudhalilisha watu MSAGA SUMU
S01EP01Hivi hii Movie iko episode ya ngapi vileee [emoji23][emoji23]
Halafu nasikia mpaka kuwakamata wanawawekea unga Cc Mzigua90 ukuje usome hapaDCEA wanafanya kazi nzuri sana kuthibiti madawa ya kulevya!
ila mbinu zao za siku hizi zimekuwa za kimafia sana, why kila papa anayekamtwa anakuwa na gramu 250 ? rejea wakina HARIRI,BABU MTAMA MCHUNGU na wengine wa kinondoni..... kwa kifupi hawa mapapa wengi wameacha ila kuna funnunu kuwa kwa kuwa wamewatesa sana watanzania lazima wakanyee debe(eti wanapandikiziwa 250 gm kwqakuwa kwa sheria mpya haina dhamana)
ila pendekezo langu kwa Mtu kama ayubu kiboko ni wakupelekwa Marekani kama kushitakiwa kama wakina ADAM TIKO na SCUBA Hapa bongo anweza akashinda kesi mapema tu
Mwenye akili fupi ni mama yako... ukinitukna nitakutukana bila kujali matokeo!Akili fupi wewe,hujuwi jambo lenye maslahi ya uma..unajali tumbo lako tu bila kujali jamii inaathirika vipi na namna unavyojaza tumbo lako.
Sio zama hizi babuAh kwa kwetu hapa kesho kutwa mutasikia yuko nje au hamusikii tena kesi yake mtakuja ona hapa
Hivi Kiboko ndo nani?Duh
Kiboko kakamatwa
Kipindi cha Nyuma kuna watu inaonekana walikuwa huko kitengo na walikuwa wanakula nao hawa wauza sembe.....Ushahidi mwingi walikuwa wanavuruga.......pia kutoa mntonyo pia.....Aisee mkuu mbona sielewi elewi
Kuna Uzi wa Feb 2017 alikamatwa na Hawa Hawa DCEA sio polis tuliozoea wanahongwa
Halafu hii may 2018 anakamatwa Tena?
Ilikuwaje au ndo Mambo ya rupia yashatinga Hadi kitengo Cha Sianga?