KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Kwa umri wangu nimeshuhudia utekelezaji wa llani za vyama kwa miaka ipatayo 15 lakini sijapata kuona ufanisi wa utekelezaji wake kama miaka mitatu ya JPM madarakani.
Kwa kasi hii, naamini huyu mzee atatekeleza ahadi zote na kutekeleza za nyongeza ambazo haxikuwepo kwenye llani ya 2015 - 2020.
Mm sina Chama lakini kwa kasi ninayoyaiona huyu mzee nnayo kura yake 2020 bila hata kampeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio aibu, ni fahari kubwa kwa maandalizi ya kupiga hatua mbele, Mungu wetu utubariki zaidi na zaidi.Serikali nzima inakuja kuipokea ndege, aisee hii ni aibu kubwa
Kwa hiyo hiyo ndege imenunuliwa kwa kodi za wana CCM?Kwanini na nyie kijani kibichi msianze kudeki mtoe mfano kwa ufipa.
Ha ha haaaaa.... hii ni kibokondugu, unanikumbusha wakati fulani watu walivyokuwa wanawahi kurudi majumbani mwao ili tu kuwahi kipindi cha ze comedy cha akina Joti.
hata baa nazo zilikuwa zinafurika kwelikweli kwa ajili ya kutizama ze comedy.
wasanii huwa wana mvuto wao usipime ndugu yangu!!
Tukisikia kauli kama hizi ndo watu hujikuta tunaporomosha matusi...hivi hili jitu liko sawa kweli kichwani?[/QUOTE][QUOTE="Roving Journalist,]
Tanzania itakuwa Ulaya. Niamini. Nawaomba Watanzania kila mmoja aamini hivyo.