Daah, hilo swali ulilojiuliza gumu sanaHivi mi ni Mtanzania?
Ukweli kabisa nimejiuliza hili swali kwa uchungu mno!Daah, hilo swali ulilojiuliza gumu sana
Asee asikuambie mtu ndege za Air Tanzania zinapendeza sana unapoziona zikipita kwa juu. Jaribu kuziangalia alafu ulete mrejesho. Ata sisi tusiozipanda tunapata furaha fulani na kuamini ipo siku litatokea zali la mentali. Pongezi kwa mbunifu wa hizi rangi na aliyehakikisha zinznunuliwa. Ni raha ilioje.
Watu wanapenda tamthilia za kikorea siku hiziMabaaa karibu yote yanasikiliza kinachoendelea uwanja wa ndege. Huyu jamaa ni charismatic leader. Jk watu walikuwa hawako interested hivi kusikia speech zake wala hazikuwa na mvuto.
Jpm anavutia wengi mno ndo mana watu wanasubilia speech zake wako radhi hata wasile.
Ikitokea leo akatoka bila kuongea watu hawataridhika kabisa wanamsubili yeye tu wengine ni mbwembwe tu