lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,564
- 2,014
Litakuwa limehusisha siasa, labda waraka useme " nyie wezi ,hamjui mlitendalo'Nadhani hapa ndio panastahili Tamko au Waraka!
Litakuwa limehusisha siasa, labda waraka useme " nyie wezi ,hamjui mlitendalo'Nadhani hapa ndio panastahili Tamko au Waraka!
Paroko ni mhindi wa Goa?
kama ni petty cash kwa ajili ya matumizi madogo madogo unapeleka benki?wakiristu bana....sasa kwanini sadaka .... msizipeleke bank
Ndio kuna vifaa vya kuendeshea misa, mfano vikombe vya kuwekea mwili wa kristo na damu yake huwa ni vya thamani kiasi kwamba wakienda kwa masonara wanayeyusha na kupata bidhaa zinginekupora fedha...
Tutaelewa
na vifaa vya kuendeshea misa.
Hii hatuelewi, ila bangi na madawa ya kulevya waweza fanya lolote lile..
Pole kanisa katoliki...
Itakua sio majambazi hao. Kuna namna hapoMajambazi wamevamia Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu-Mbezi Mwisho na kupora fedha na vifaa vya kuendeshea misa.
Paroko wa parokia hiyo, Sunil Kishor amethibitisha kutokea kwa tukio hilo
Chanzo: Mwananchi
hiyo hongera ipe bibilia mkuu sio mimi. Ufunuo 21Hongera Mkuu kwa kufika mbinguni na kufunguliwa geti
Tatizo watu ...Wamekuwa sio waaminifu ...unakuta awo majambz ndo watumishi wa hilo kanisa.kama ni petty cash kwa ajili ya matumizi madogo madogo unapeleka benki?
Huwa wanaiba wakidhani zile chetezo n.k ni pure gold.kupora fedha...
Tutaelewa
na vifaa vya kuendeshea misa.
Hii hatuelewi, ila bangi na madawa ya kulevya waweza fanya lolote lile..
Pole kanisa katoliki...
Mkuu huwa kuna vijisadaka vya ibada asubuhi za kila siku ambazo haziwezi kukushawishi kuzipeleka benki . Ni pesa unakuta haifiki hata laki . Sasa sijajua wameiba sadaka za lini , lakini hawawezi kukutana na sadaka ya jpil hata kwa bahati mbaya . Ngoja tusikie habari kamili kwanza .Ok. Hata kama. Lakini njia za kuifikia benki siku hizi nyingi sana. Walishindwaje? Au katuma watu yeye mwenyewe paroko. Halafu ni Dar na panajulikana kwa uhalifu halafu unahifadhi fedha kanisani. Kama wanapora benki vipi washindwe kanisani kunakolindwa kwa imani kama si rungu?
Kumbe pettycash hata ikiibiwa si tatizo? Kanisa laweza kulipa kwa namna tofauti. Cheki au mifumo ya Mpesa, halopesa, tigopesa nk. Lakini kuhifadhi hela kanisani ni ujinga na matumizi mabaya ya rasilimali watu. Lazima mtataka polisi wafuatilie. Kwa uzembe wenu tuache kazi za maana tufanye hii. Hata uswisi benki makanisa yanalindwa. Acheni uzembe RCkama ni petty cash kwa ajili ya matumizi madogo madogo unapeleka benki?
Kumbe inafahamika vya thamani halafu vinaachwa bila ulinzi madhubuti.Ndio kuna vifaa vya kuendeshea misa, mfano vikombe vya kuwekea mwili wa kristo na damu yake huwa ni vya thamani kiasi kwamba wakienda kwa masonara wanayeyusha na kupata bidhaa zingine
Intelegensia ya polis inaona ya cdm lakini wameshindwa kukamata tu vibaka tubatosumbua mtaani.Nadhani hapa ndio panastahili Tamko au Waraka!