DAR: Majambazi wavamia Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Theresia, wapora fedha na vifaa vya kuendeshea misa

Nakumbuka St. Theresa Arusha enzi za Askofu Lukanima walishafanya tukio la wizi lakini vibaka walirudisha wenyewe!! Achana na novena chini ya Askofu mwenyewe!
 
Viongozi wote wanatakiwa wawe mahali waisaidie polisi. fedha wiki nzima ziko kanisani! wezi ndio hao hao viongozi.
 
Maadam kasema waliokuwa wanachangia hela ni watu wa aina gani
Sasa jamaa wameona hakuna dhambi hapo.
 
Siyo sababu kijana wangu...
poleni sana.
ni vizuri makanisa yakaboresha physical security ya mali zao.
Hata mbinguni kuna Mageti.
Nowadays kuna majambazi yanavamia jwa kuvunja kweli?
***
Nyumba ngapi zenye full security bado mnaibiwa?tena kwa sasa wanaiba kwa kuvizia au kuja wakifunguliwa mlango na mwenzao.
 
Kwa masuala ya imani Sadaka ni mali ya Mungu.Kila mtu ametoa kwa Moyo wake na inayo Nguvu sana.Walioiba nawaurumia saana.Sababu Mungu atadeal nao moja kwa moja.KUMBUKA Laana inapiga vizazi vitatu isipowapiga itapiga watoto au wajukuu.
 
Siyo sababu kijana wangu...

Nowadays kuna majambazi yanavamia jwa kuvunja kweli?
***
Nyumba ngapi zenye full security bado mnaibiwa?tena kwa sasa wanaiba kwa kuvizia au kuja wakifunguliwa mlango na mwenzao.
tunamitigate risk sio kuondoa kabisa mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom