Dar: Mabomu na risasi Ubungo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar: Mabomu na risasi Ubungo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MBUFYA, Nov 11, 2011.

 1. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wakuu mimi nipo maeneo ya msewe, lakini muda wa dakika tano zilizo pita nimesikia milio ya mabomu na risasi maeneo ya ubungo au chuo kikuu cha dar es salaam, kama kuna mtu yupo kwenye eneo la tukio atujuze kuna nini.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Udsm wamepakatwana Police(FFU)
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  everywhere is ..war!
  BM.
   
 4. O

  Obinna Senior Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imekuwaje embu tuweke sawa basi.
   
 5. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wamekamata wanafunzi wengi sana kama 40 hivi nadhani wamewapeleka Mabatini Kijitonyama.
   
 6. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hawa askari ni viazi sana,kwani hawa vijana wanadai haki yao ya msingi.
   
 7. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  thax kwa taarifa wakuu, poleni sana vijana tupo pamoja.
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Mabomu kila mahali, sio dar, sio mbeya, sio arusha! ifike mahali tuanze kureview criteria za kuwapa watu mamlaka katika vyombo vyetu vya dola
   
 9. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  jamani kwani walivyoandamana walitoka nje ya chuo ila nna wasiwasi FFU wa DAR walikuwa wamemisi sana kupiga mabomu
   
 10. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  yaah ilikuwa hapa maeneo ya geti maji. wanafunzi walikuwa katikati. police walikuwa njia panda ya chuo na wengine walikuwa kwenye geti maji. mabomu yalipopigwa wanafunzi walikimbilia kwenye viwanja vya chuo baadhi walifanikiwa kuingia kwenye geti la coet. mabomu yalio pigwa yanaweza yakazidi 70. ila wanafunzi kadhaa wamekamatwa na wengi wamejaa matope maana kwenye viwanja vya michezo kuna sehemu kuna maji maji. nikiweza niwawekea video.
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Tunakoelekea hii bongo itakuwa kama Somalia a no man's land!
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  JK haelewi tu ..hii nchi akiendelea na sanaa zake itapasuaka sasa hivi
   
 13. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Tanzania siku nyingi maaskari hawajapigana so wanatest mabomu yao kwa raia
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Itafika mahali ffu watashindwa kuzuia nguvu ya umma.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  FFU wa magamba @ work
   
 16. C

  Chakusonje Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Arusha! Mwanza! Leo Mbeya na Udsm! Kesho mabomu yatalindima ikulu!! Pole sana jk achia ngazi mapema kabla hayajakufika ya marehemu hayati the late Ghadafi.
   
 17. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  two in one UDSM na Mwanjelwa mbeya city ni mabomu tu, bora kinuke tu nchi nzima
   
 18. m

  mob JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,028
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  iko cku watu watazoea magereza na watazoea mabomu ya machozi sasa sijui nini kitaendelea
   
 19. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  zamani tulidhani elimu iwe kwa wahasibu na madaktari tu ila askari std VIII na Form IV Div ... ni kwa ccp! Sasa angalai 'mavuno yake, nina imani kama polisi (hasa walioko kwenye fields) wangekuwa wamefikia kiwango cha elimu cha wanaowapiga mabomu wangengelijua what are those students demanding and what it takes!
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wanaitwa polisisisiem,lakini watakuja juta hakika!
   
Loading...