Dar Lux Bus jifunzeni ustaarabu

konda alikuwa analeta jeuri, kwanza hakutupa soda zetu mpaka tunaenda kula Highway Korogwe...
Alipokuja kugawa maji, akawapa watu wachache wa viti vya mbele then akadai yamekwisha, mimi nikachukulia poa kabisa... Cha ajabu akaenda siti za nyuma akawakuta masela zake, si akaenda mbele kuwachukulia maji? Nilipomuuliza huyo kondakta akaniambia kuwa pale sio gesti, hivyo natakiwa niwe mpole...
Tulipofika pale Same, alipoingia yule mdingi mkaguzi, nikamchana live kila kitu... Akamwita nje, akamsema kama mtoto mdogo, jamaa akadai kama tatizo ni maji anaenda kunichukulia kwenye buti ya gari... Mkulu akamwambia kama maji yameisha, hayo anayotaka kunipa yanatoka'pi?
Msela akanichukia mpaka mwisho wa safari...
Nikajiona shujaa mwenyewe?
Looh nus uuwe mtu
 
Kutoka Dec 28, 2011 siku ya post hii ... jana May 29, 2017 nimekata ticket ya kwenda Mwanza na Dar Lux, moja ya bus zuri kabisa kwa barabara hiyo lililobaki. Am just looking forward to have fun ...
 
ndo matatizo ya kuanzisha kampuni/biashara na kutizama faida bila kujali unayemhudumia. mmiliki alipaswa kuwapa ka-training cha customer care, kuwafundisha ustaarabu na jinsi ya kuhudumia wateja kutokana na standard zanazotaka.
ndio maana dar express ndo the best hata wakimfanyia majungu
Dar Express kanifurahisha kuanza Route kupitia Sam Nujoma, mwenge, Tegeta to Msata Road. Wa kaskazini tunaoishi Bagamoyo Road tumuunge mkono. Ila Dar Express kama uko Jf tafadhali anzisha Huduma ya ticket kwa mtandao. Ubungo panaudhi
 
F
Kutoka Dec 28, 2011 siku ya post hii ... jana May 39, 2017 nimekata ticket ya kwenda Mwanza na Dar Lux, moja ya bus zuri kabisa kwa barabara hiyo lililobaki. Am just looking forward to have fun ...
Naona wamekuja na Ofisi nzuri kama za marehemu Scandinavia. Nawapongeza kwa hili ila nao wasije kufa. Kuna Yutong nzuri sana za kwenda mikoani UBT kwa bei nafuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom