Huwa najiuliza ili kuweza kuwa na free Wi-Fi, mfano kwenye vyuo vyetu au maeneo yetu sehemu mbalimbali, nini kinatakiwa kifanyike? Nchi zingine wamewezaje? Ni lazima serikali ishiriki? Wadau binafsi wakiamua wafanye ni ghali sana?
Humu kuna watu mnauelewa zaidi hebu tuelewesheni..
Mkuu na mm nielekeze hiyo hdmi unaungaje kwa simuNatumia Mobro sasa DSTV watanisahau kabisa live kwenye simu HDMI cable connection direct to my TV Yehuuuuuuuu
The Dogs ow War
''Tunawapongeza kwa kutekeleza mradi huu na tunatumai upandaji wa miti katika maeneo tofauti mjini ikiwemo maeneo ya burudani, watu wataweza kupata huduma ya mtandao'' ,alisema.
Kijana unafikiri wote wanatumia mtandao kwa kutukana?....wengi hutumia mitandao kibiashara,kijamii nk....Unaweka huduma hiyo huku kukiwa na sheria kandamizi za mitandao!
Nani katukanaKijana unafikiri wote wanatumia mtandao kwa kutukana?....wengi hutumia mitandao kibiashara,kijamii nk....