Dar kuna wingu kubwa lakini mvua hainyeshi

Dar kuna wingu kubwa lakini mvua hainyeshi

Mvua hakuna kwenu SBU kuna wachawi ila inapiga mbaya kabsa
 
kijichi imetandika ya maana kufika huku msasani kuna wingu tu
 
Dah... Makonda angeahirisha tu Hii sikukuu ya Leo.."tupumzike nao" [emoji12] [emoji12]
 
nipo Dar na nilipo ni mawingu tu tangu asubuhi
 
Huwez amin na wingu lote hili Akuna mvua ya maana itakayo nyesha nawaonea huruma watu wanakimbizana buree
Kuna maeneo imenyesha mvua ya kutisha Dar sijui wewe mwenzetu uko Dar ipi maana kwa maeneo ya segerea, gongolamboto, mbagala, mzigo ulikuwa wa nguvu
 
Salasala hatujapata hata ndoo moja ya maji. Ila twashuhudia maji yakitirika kwenye mitaro
 
Back
Top Bottom