Mkuu tungemsifia hivyo hivyo Kama tunavyomsifia sasa kwa kujenga kilometer 17 Kimara- Kibaha baada ya kupeperusha ujenzi wa kilometa 100Wewe kweli hujijui!
Sasa hapa aliyetekeleza huo mradi ni JK.? vipi kama Magu angeamua kuupiga chini?
Mbona bandari ya bagamoyo aliipiga chini baada ya kuona haina manufaa kwa taifa.?
Wakati mwingine si tu kupingaa tuuu, bali kukubali hata kama kitu kinauma
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Wao wanavizia kupiga picha kwenye maziko makaburini na kusema wamekufa kwa corona😄
Ubungo ya wapi ina Miti hivi?Picha: Mapishano ya Barabara (Ubungo Interchange) yafikia patamu, Dar es Salaam kuiaga foleni rasmi, mradi huu ni matokeo ya maamuzi ya Rais mzalendo Mhe. Dkt John Magufuli katika kuimairisha miundombinu ya Barabara nchini.
Mradi unagharimu kiasi cha Tsh Bilioni 188.71
Hii ni Awamu ya KaziView attachment 1442721
Mbona kawaida sana utopolo huu mnaleta sasaAnyway kukujibu swali lako, hivi hapa vipande vya Thika superhighway Nairobi
Hizi zingeweza kuwa kama 90km za barabara safi kabisa ya lami.Picha: Mapishano ya Barabara (Ubungo Interchange) yafikia patamu, Dar es Salaam kuiaga foleni rasmi, mradi huu ni matokeo ya maamuzi ya Rais mzalendo Mhe. Dkt John Magufuli katika kuimairisha miundombinu ya Barabara nchini.
Mradi unagharimu kiasi cha Tsh Bilioni 188.71
Hii ni Awamu ya KaziView attachment 1442721
Mbona kawaida sana utopolo huu mnaleta sasa
Bongo imeanza na fly over moja ambayon itakua ya kwanza east afrca nnyie mnatuletea ma interchange.
Kuna fly over zngne kama tano iv tyr zpo mezan
-mwenge,moroco,kamata, nk
inshort vibarabara vya nairob si kitu kwa bongo maana tumewapiku kwa maghorofa majengo makali just imagine ile makumbusho ilivokaa poa rud uku njia ya mliman city. Kuna blue giant moja limesimama pale .
Anyway tusiongee sana ila tusubil rel ya umeme iishe na brt ziijengwe phase zingne
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo 3 sahii sio moja tuWakati nyie mnataka kuanza kushangaa flyover ya kwanza, sisi tumechoka nazo ni nyingi mno....
Anyway wakati nyie mnaangaika na matatuu sisi tunapanua BRT njia zoteWakati nyie mnataka kuanza kushangaa flyover ya kwanza, sisi tumechoka nazo ni nyingi mno....
Mkuu kwani hao jamaa wanakusanya Kodi wapi au unataka wajenge hayo madaraja kwa pesa zao za mfukoni? Jamani heri yangu mie ambaye si kwenda kupoteza muda wangu shuleWao wanavizia kupiga picha kwenye maziko makaburini na kusema wamekufa kwa corona😄
Mkuu tuna miaka 60 sasa tangu tuanze kujitawala,tena tukitawaliwa na chama bora Africa na Tanzania ikiwa ni nchi pekee yenye every natural resources,you name it.Wewe unachosema hapa ni kwamba sisi hatuwezi kufanya lolote la maana bila Mzungu .Kama ndo hivyo ccm wanangangania madaraka ili iweje sasaSijui kama ulisoma historia ya Afrika mashariki.
Tanganyika ilipopokonywa kwa mjerumani baada ya vita kuu,na kupewa mwingereza
hakuna ujenzi wowote wa kujenga nchi ulioendelea kwa kuhofia muda wowote atatakiwa kuirudisha UNO.
Kwa ufupi tunawezasema maendelea ya kenya yalichangiwa na rasilimali mwingereza alizoiba Tanzania.
Habari ndo hiyo
Mimi ni mtanzania na mkazi wa Dar,bila kumungunya maneno,Thika highway ndiyo barabara bora kabisa katika ukanda wa Africa Mashariki kwa sasa.Kwa hapa Tanzania only kipande Cha Nyerere Bridge( kigamboni Bridge) ndo kipande Bora Cha barabara hapa hapa kwetu vilivyobaki vinareflect our level of thinking na uwezo wetu wa kutoona mbaliAnyway kukujibu swali lako, hivi hapa vipande vya Thika superhighway Nairobi
Anyway wakati nyie mnaangaika na matatuu sisi tunapanua BRT njia zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mtanzania na mkazi wa Dar,bila kumungunya maneno,Thika highway ndiyo barabara bora kabisa katika ukanda wa Africa Mashariki kwa sasa.Kwa hapa Tanzania only kipande Cha Nyerere Bridge( kigamboni Bridge) ndo kipande Bora Cha barabara hapa hapa kwetu vilivyobaki vinareflect our level of thinking na uwezo wetu wa kutoona mbali
Binafsi sishangai,hizi ni miongoni mwa raslimali alizoiba mwingereza nchini tanzania na kujenga makoloni yake ikiwemo kenya.Sisi baada ya uhuru Nyerere alipambana kukomboa nchi zilizokuwa chini ya mkoloni na baada ya hapo ndo akaanza kujenga nchi.Yote katika yote ukitaka kuendelea jilinganishe na mtu mzima mwenzako.Halafu kuna hii inaandaliwa ya kutoka JKIA hadi Rironi
Binafsi sishangai,hizi ni miongoni mwa raslimali alizoiba mwingereza nchini tanzania na kujenga makoloni yake ikiwemo kenya.Sisi baada ya uhuru Nyerere alipambana kukomboa nchi zilizokuwa chini ya mkoloni na baada ya hapo ndo akaanza kujenga nchi.Yote katika yote ukitaka kuendelea jilinganishe na mtu mzima mwenzako.
Stupid kabisa folen ya dsm iko ubungo tu??Picha: Mapishano ya Barabara (Ubungo Interchange) yafikia patamu, Dar es Salaam kuiaga foleni rasmi, mradi huu ni matokeo ya maamuzi ya Rais mzalendo Mhe. Dkt John Magufuli katika kuimairisha miundombinu ya Barabara nchini.
Mradi unagharimu kiasi cha Tsh Bilioni 188.71
Hii ni Awamu ya KaziView attachment 1442721
Pilipili usizokula zinakuwashia nini? Kenya mlipokuwa mnauana wenyewe kwa wenyewe mithili ya nguruwe pori,hizo fly over ziliwasaidiaje?Endeleeni kujiaminisha upupu, miaka sitini baada ya uhuru bado mumezembea mkiimba hizi nyimbo, dunia ilishatoka toka huko kitambo, mataifa ambayo bado yamebaki kwenye uchumi wa umaskini yaani LDC yana laana fulani na yapo Afrika tu, mnatuaibisha sana nyie.