Pelekeni ushahidi wa kuvamiwa, ile clip haina any conclusive evidence ya uvamizi, ni kama clip ya joti na tanzazo la mtandao wa simu, hamna kitu!
Clouds kama WAMEVAMIWA watoe ushirikiano!
Huyu hapa na yule mwingine wa JF anayetaka kuanzisha chama cha siasaMmoja ni Silaha mwingine?
Una maanisha Pasikalia au nani?Huyu hapa na yule mwingine wa JF anayetaka kuanzisha chama cha siasa
Mwambie apeleke hiyo full clip ndo inayotakiwa ili Makonda ikiwezekana aende akaozee segerea, hiyo muhaya kaanza kumgeuka Makonda baada ya Makonda kuanzisha vita na mateja na wauza unga!Poleni sana sana sana.Jamaa yako alikuwa anajua anakuwa recorded kwa kila kitendo na akajua akiwatisha wataifuta ile episode majanga akakutana na Muhaya ambaye hasikii lwa kuambiwa akaishia alipoishia,anachotakiwa kufanya si kumtukana Ruge ,bali kuomba radhi period.
Hatakati hata kwa jik
Ile clip ya waliomtega na kumrekodi haina mashiko hata nukta, wapeleke full ya uvamizi.Upelelezi gani wanautaka wkt video zipo wazi kabisa
Kwa hiyo CCTV huziamini ama hata huzijui?Kila mtu na nyota yake, Lisu upelelezi wake upo tayari robo tatu automatcally, akitenda kosa ni kukamilisha tu robo iliyobaki.
Sirro ni mteule wa rais na makonda ni mteule wa rais ambaye anasema rank yake sawa na PII EM,sasa Sirro ataweza kumgusa makonda?Na pia Bossi wa Siro ni Makonda kwenye ulinzi na Usalama DSMKamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Simon Sirro amewataka uongozi wa Clouds Media Group kushirikiana na jeshi la polisi katika upelelezi wa tukio la uvamizi wa kituo chao cha matangazo.
Akiongea na waandishi wa habari leo Sirro amesema kesi yoyote inahitaji ushahidi na uvamizi wa Clouds bado upelelezi wake unaendelea ukikamilika utapelekwa kwa wakili wa Serikali ili aone kama anaipeleka kesi hiyo mahakamani au kutoipeleka.
"Ndugu zetu wa Clouds watoe ushirikiano kwa mpelelezi wa kesi yao, wao wanataarifa za kutusaidia kukamilika kwa upelelezi ila nasi tuweze kuipeleka katika hatua inayofuata. Na sio kwamba tukio limesahaurika bali upelezi wake unaendelea," amesema Sirro.
Chanzo: mwananchi
Ameyarudisha mwenyewe via staa tivii leoHivi jamani haya mambo ya Bashite si yalishaisha? naona yanarudi kwa kasi...kulikoni tena?
Na wanaotunga mambo ya uwongo uwongo nao wanaweza shughulikiwa kwa mjibu wa sheria.naona njia ya kumsafisha Bashite inaandaliwa
Hivi ni kweli unaweza kumsafisha mamba akatakata na kuwa soft?naona njia ya kumsafisha Bashite inaandaliwa