Dar: Jeshi la Polisi lamuhoji Josephat Gwajima kwa tuhuma za kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa tuhuma za kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya Kisukuma zenye lengo la kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila nchini. Kipeperushi kilikuwa na picha ya Rais Magufuli.

FB_IMG_1583239775071.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app

=====

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemuhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kwa tuhuma za kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya kisukuma, zenye lengo la kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila nchini.

Taarifa hiyo imetolewa leo Machi 3, 2020, na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, SACP Camillius Wambura, na kusema kuwa kutokana na jumbe hizo kuonekana kuhamasisha vitendo vya kikabila,Jeshi hilo limempa onyo kali la kuacha mara moja vitendo vya kuligawa Taifa.

"Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemuonya vikali Askofu Gwajima kuacha mara moja, vitendo vya kuligawa Taifa kwa kutumia vigezo vya ukabila na kutoa onyo kwa wote wenye nia ya kutaka kuligawa Taifa kwa njia ya ukabila, udini ama ukanda" amesema SACP Wambura.

Aidha Kamanda Wambura ameongeza kuwa, "Katika ujumbe huo wa sauti Askofu Gwajima pia, amewataka wasukuma matajiri kuungana kwa pamoja kwa lengo la kuwasaidia wasukuma maskini ili kuondoa dhana ya kwamba wasukuma ni maskini na ni washamba".
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa tuhuma za kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya Kisukuma zenye lengo la kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila nchini. Kipeperushi kilikuwa na picha ya Rais Magufuli.

View attachment 1375497

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu toka akamatwe ugoni naona kapagawa kabisa.
Waswahili wanasema za mwizi arobaini. Pole kwa wafuasi wake.
Kwa taarifa yake Mh Rais hana shida ya msaada wake kwani 2020 atapita tu...yeye aendelee kula kondoo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa tuhuma za kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya Kisukuma zenye lengo la kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila nchini. Kipeperushi kilikuwa na picha ya Rais Magufuli.

View attachment 1375497

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata wakiamua kutangaza hii ni sukuma republic kwangu ni sawa tuu
 
Hawa watu toka enzi za Manabii walikuwepo wanajulikana almaarufu wanafiki Yesu Kristo aliwashtukia mapemaaa na kuwapa makavu live
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa tuhuma za kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya Kisukuma zenye lengo la kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila nchini. Kipeperushi kilikuwa na picha ya Rais Magufuli.

View attachment 1375497

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa tuhuma za kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya Kisukuma zenye lengo la kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila nchini. Kipeperushi kilikuwa na picha ya Rais Magufuli.

View attachment 1375497

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu haya mambo yanapoekea watanzania wanaofanana na Watusi watakuja kuanzisha umoja wao

Mwisho wa siku tutajikuta kuna wahutu na watusii wenzetu Rwanda na Burundi walianza hivi hiviii

Huyu gwajima awekwe ndaniii tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa tuhuma za kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya Kisukuma zenye lengo la kuhamasisha watu kuunda kikundi cha kikabila nchini. Kipeperushi kilikuwa na picha ya Rais Magufuli.

View attachment 1375497

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Nae haelewiki, yani sasahivi Tanzania imevurugika Hakuna anaeleweka yuko wapi, yani inawezekana tumelogwa watanzania, maaana utakuta kila kukicha ni heli ya Jana wengne wanaunga juhud hata ambao huwezi tegemea, wengne ndio hivyo tena yani tumevurugwa, nchi imechanganyikiwa hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia tarehe zaidi ya Mara mbili kama hii habari ni ya leo au...ila juzi kati alikuwa anasifia juhudi za jiwe akiwa Nyumba nyeupe..

Au alikuwa anampaka mafuta kwa mgongo wa chupa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom