Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,696
- 11,297
Dar ndiyo iliyokufungua mawazo,bila kukaa Dar usingeona hizo fursa.Ulipata changamoto Dar ukazifanyia kazi huko kwingineNimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..
Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.
Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.
Magufuli alishasema mjini watabaki wanaumeNi kweli mkuu hata mi niling'atuka mapema sana nikarudi mkoa kwa sasa naujutia muda wangu niliopoteza huko dar. kwa sasa namiliki biashara zangu ,mjengo na nawaza kutafuta usafiri tu
Ukibaki mjini we Mwanaume,Magu alishasemaDar kuna wenyewe.....ukiwa mporipori utachemsha tu!!!
Ukiegemea kwenye hesabu za probability, uwezekano wa kutoboa ukiwa Dar ni mkubwa kuliko mkoani. Magari na majumba mazuri yako Dar. Mkoani mtu anayetembelea shangingi ni mkuu wa mkoa pekee, whats ur chance of getting one?
Ni kweli mkuu,ila vijana wengi wanapoteza tu muda wao ktk hilo jiji. kwa kweli mm ninaishi nikipambana na umri wangu unaongezeka kila nukta ili angalao nifanye mambo ya maana kabla ya uzee.Hahahaahah dsm kama hauna mchongo rudi mkoani
Kujishughulisha mkuu.Na mtaji si hela mkuu ni wazo ulilo nalo. Wengi ukiwaambia hivi wanasema mbona mawazo wanayo mazuri tu tatizo ni hela. Lkn ukweli ni kwamba mtaji wa kwanza ni wazo lako ila shida inakuja kwa vijana wengi hawataki kuanzia mahali fulani chini kidogo kidogo anataka aamke asubuhi awe km Bakhresa au Mengi. Kwanza hawataki vitu vya kufikirisha anataka kazi km vile anavyofungua Instagram na kufungua page/akaunti ya diamondMkoani kama huna pesa ni vigumu mno kupata pesa, tofauti na dar.
Kuipta 10000 tu mkoa ni kazi mno tofauti ukiwa hapa mjini aiseeh.
Yote kwa yote kila mtu ana jinsi yake aaminiavyo atatoboa. Mjini si kila mtu katoboa kuna wanaokwama na wanaofanikiwa ni bongo yako tu jinsi gni unaichemsha.
tusiandikie mate na wino ungalipo. Hapa tunabadilishana mawazo kwa faida ya wote. Mkuu upo eneo gani hapa TZ na unajishughulisha na nini? Ikiwezekana embu tubadilishane contact tunaweza discuss mengi zaidiKujishughulisha mkuu.Na mtaji si hela mkuu ni wazo ulilo nalo. Wengi ukiwaambia hivi wanasema mbona mawazo wanayo mazuri tu tatizo ni hela. Lkn ukweli ni kwamba mtaji wa kwanza ni wazo lako ila shida inakuja kwa vijana wengi hawataki kuanzia mahali fulani chini kidogo kidogo anataka aamke asubuhi awe km Bakhresa au Mengi. Kwanza hawataki vitu vya kufikirisha anataka kazi km vile anavyofungua Instagram na kufungua page/akaunti ya diamond
Hapo kwenye kutokulala vzr nakuunga mkono, nilikuwa naamka saa 10 alfajir kwenda kazini ili niwahi foleni na nilikuwa narudi home saa 4 usiku na hata ninachokipata sikioni hela yote inaishia kwenye matumizi ya kawaida nijasanukaWengi watakuja kukubeza mtoa mada,ila ukweli wengi walio Dar ni wachumia tumbo,kipato chao chote kinaishia kwenye usafiri,na muda wao mwingi wanaupotezea mabarabarani,hawalali vizuri,wala hakuna sehemu ya kutulia na kuwaza au kupumzika bila bugudha,wengi wanalijua hilo,lkn wakiwaza time waliyoipoteza,wanaona noma kurudisha mpira kwa kipa,bora umewasanua,mimi naamini bado hawajachelewa...hasa kwa wale wenye nia ya kubadilisha maisha yao,maana wengi wao washakata tamaa.
Hata huko mkoa kuna watu kibao wanaishi kwenye ufukara mkubwa.Mkoani kama huna pesa ni vigumu mno kupata pesa, tofauti na dar.
Kuipta 10000 tu mkoa ni kazi mno tofauti ukiwa hapa mjini aiseeh.
Yote kwa yote kila mtu ana jinsi yake aaminiavyo atatoboa. Mjini si kila mtu katoboa kuna wanaokwama na wanaofanikiwa ni bongo yako tu jinsi gni unaichemsha.
Mkoani hamna watu wanaopoteza muda? Kuna miji watu wenye kipato unawahesabiaNi kweli mkuu,ila vijana wengi wanapoteza tu muda wao ktk hilo jiji. kwa kweli mm ninaishi nikipambana na umri wangu unaongezeka kila nukta ili angalao nifanye mambo ya maana kabla ya uzee.
Nimewaambia hivyo hivyo hapo nyuma naona wakawa kimyaIssue ni wewe umepoteza muda Dar ukiwa unashangaa shangaa, siyo Dar imekupotezea muda. Sasa ukiwa miji mikubwa kama NY, Tokyo, London au Jo-burg si ndiyo utafutwa kabisa kwenye ramani ya ulimwengu. Jipange kijana.