Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,859
- 7,052
u uzi hujaulewa, kausome vizuriWote waliohamia mkoani ambao wametoka dar na kurudi mikoani , walijipa muda na malengo ya kuwa baada ya miezi sita au tisa au mwaka mzima nitarudi mkoani. kipindi hicho cha muda walichojipa ndicho walichokuwa wanakusanya pesa na kujichanga za kwenda kuanza nazo maisha mikoani wakati huo wangekuwa huko mkoani wasingekuwanazo hizo pesa.
Dar lazima uishi kwa malengo kila kitu unatumia pesa, akili zako kama huzichangi vizuri DAR utaishia pesa zako kilipia pango la nyumba, umeme, maji, usafiri, kula, kuvaa, na starehe ndogo ndogo.
mimi sirudi mkoani miaka mia nipo dar na nimejenga mkoani, maisha yangu ni Dar mkoani kwenda kutembea tu na kurudi Dar.
iyo laki na nusu kwa siku anakula mlo gani na wa aina gani kwa shi ngap ye na familia yake?Kuna watu wanalipwa laki na nusu lkn wana maisha bora kuliko anayelipwa milioni tatu.
na ndipo dawa zote za nguvu za kiume zinapatikana,karibu kila mtu anakuambia ana tatizo la nguvu za kiumeDar wengi wanaishi na kukulia kwa mashemej zao
Na kama hakai kwa shemej unakuta analala stand sokoni Kurembea usiku kucha wanajifanya busy kumbe hakuna pa kulala
Na ndo mana pia dar watoto wengi hawafanan na baba zao
Lakin pia ndo jiji linaloongoza kwa mashoga east afri
Napo sema hivyo sina maana wanaume wote wa dar wazembe wapo majbe sema wachache sana wengi kula kwa Shem kulala kwa Shem
Huyo mtu atakuwa muhasibu tu ama mtu wa stoo! Kunayo namna hapo!
Hawa watu waache tu walivyo,wana maisha bora hata kushinda wewe.Wengine ni walinzi wa Gereji ambazo sometimes zinatumika kama guest bubuiyo laki na nusu kwa siku anakula mlo gani na wa aina gani kwa shi ngap ye na familia yake?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha dharau yaani utumbo na miguu umpe mbwa wakati kitoweo cha ugali[emoji1] [emoji1] [emoji3]
Smart boy
Tunatambua vyema tafsiri ya ule msemo wa, "kijana amepata kazi yake nzuri tu!" ....Ukiskia hivyo ujue yupo kitengo ambacho kuna dili chafu za kupiga pesa daily isivyo halali.huyo ni mwizi mkuu
mikoa mingi ya kilimo,maisha ya kawaida ya kula ukashiba ukatosheka na ukamudu vitu vingine vya kila siku na ukabaki na akiba kidogo..Haya twende mkoa gani na mitaa gani ukilinganiasha na dar mitaa gani not to forget life style ipi
Utoe mfano mzee baba ..acha story za vijiweniKuna watu wanalipwa laki na nusu lkn wana maisha bora kuliko anayelipwa milioni tatu.
Jamaa kasema hvyo kufurahisha genge hajui maisha yanavoenda ..inawezekana anaishi kwa Shem ye anashinda vijiweni na kwenye mitandaoiyo laki na nusu kwa siku anakula mlo gani na wa aina gani kwa shi ngap ye na familia yake?
Nitoe Mfano wa kutaja jina la mtu au Aina ya kazi?Utoe mfano mzee baba ..acha story za vijiweni
Story za vijiweni wakati Mie mwenyewe naonaUtoe mfano mzee baba ..acha story za vijiweni
Huyo Baba mkubwa Hana akili,.Baba yangu Mkubwa Anaish Dar mwaka wa 28 huu ndo msomi zaid na mwenye kipato kikubwa zaid ndan ya familia ila ndo maskn zaid kwenye familia yao.
Sitak kuweka maelezo meng Jitahd hvyo hvyo tu unielewe
Humu jf hakuna mabaharia? Kuna huyu kabaki kwenye oil na injin anahtaj uokoaji.Huyo Baba mkubwa Hana akili,.
[emoji16] [emoji16] eti chamoto nilikipata sana tu[emoji3] [emoji3]
Smart boy