Dar ikajifunze minada ya usukumani ili tukuze Uchumi, Malls na Supermarkets hazitakiwi kabisa

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,034
Naona ni wakati wa kuwa na minada mingi kama iliyopo kanda ya ziwa.

Nadhani viongozi wa Dar wakajifunze sasa kanda ya ziwa minada inaendeshwaje na kwa mwezi tuwe na minada mingapi katika Mkoa.

Hatuna sababu ya kua na Malls Au Super Markets kwa sababu hazina maana kwa sasa hizo zikiwepo.

Wanyonge watateseka nadhani ni wakati wa kukuza uchumi kupitia hawa wanyonge tena tukiwapa na vitambulisho wafanye biashara kwa uhuru.
 
Minada mbona ipo sana. Pale Kibamba CCM na Luguruni kila wiki kuna minada.

Ukiachana na minada ya vitu vya kawaida, pia pale Loliondo Maili Moja kuna mnada wa nyama hasa ya mbuzi kama ilivyo kule kwa Mromboo Arusha. Yani hapo ni mwendo wa kula mbuzi choma kwa kwenda mbele huku kukiwa na vinywaji telee.

Tatizo lako hauko informed tuu, utakuwa ni wale wasukuma mnaokuja mjini na mnaanza kujifanya nyie ndio wa mujini kushinda wenyeji

Unforgetable
 
Minada ipo, wanyonge wataenda minadani.

Malls ziendelee kuwepo, wababe wakina Kiduku wakaspend hela zao huko.
 
Asome between lines simpaka hizo lines zenyewe ziwepo hapo hakuna lines kuna takataka.

Sanaa ya uandishi ni ngumu sana, lugha nyepesi umeshindwa kuelewa! Malls na supermarkets hazina faida maana hazilipi kodi, machinga wakipewa vitambulisho ndio wafanye kazi kwa uhuru, machinga kitambulisho ni bei gani je maduka makubwa ya wanunuzi yatapata wateja ikiwa street vendors wanaongezeka kila siku? Shuleni mlisoma fasihi simulizi na fasihi andishi au ndio shule zetu za kukariri kwa ajili ya mtihani?
 
A man of the people na An enemy of the people ni dhamira mbili zilizocheza na sanaa ya uandishi ambapo jibu lilioatikana mwisho uliona Chief Nanga anageuka kua adui maana aliua future ya wananchi wake, na mtaalamu alietetea maji yanayotumiwa na wananchi yapimwe maabara huku akipigwa vita na wala rushwa baadae aligeuka kua shujaa wa wananchi
 
Mikubwa kabisa kama wa Kwetu hapa Buhongwa...Yaani Kila.Alhamis ya Wiki hatuonani....Mlimani City yenu Cha mtoto ndugu
Dar wanafanya kwa kata.
Ya kiwilaya hakuna.

Iliyopo ni midogo.

Mlimani city haiwezi kuwa compared na minada pale ni dunia nyingine.
 
Back
Top Bottom