Dar hiyooo yanukuiaaa!!!

Dar hiyooo yanukuiaaa!!!

utanikuta stendi ubungo,hilo li vogue jeusi utakaloliona ndo langu,karibu.
 
Hii safari naivunja hadi J'1 .
Utaondoka na mimi by Thermos !
Namuombea excuse kwa wale waliopiga hesabu za kumpokea Ubungo!
Sasa issue itakua Kipawa, kule karibu na Jet Club.
Mapokezi yameshaandaliwa mtusamehe kwa usumbufu, muendelee tu na shughuli za ujenzi wa Taifa .
Wenye miVogu mieusi, sijui rangi ya Togwa pumzisheni Mishono
 
Mpenz natambua uwepo wako ila si unamjua mkweo darlin kanipigia simu ananihitaj sasa yabid niende
 
beibe nasty nipitie kibaha kwa mathias nikupe mihogo ya kwenda nayo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom