Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,079
- 43,566
online unanunua pamoja ila bongo sijawahi ziona hizo adapter ipo tu cable ya MHL, ila ukipata official cable ya samsung haina haja ya adapter sema bei zake zimesimama ni zaidi ya laki 1, labda uipate used.nimekupata, unanunua kwa pamoja au tofauti
Samahani kwa kukusumbua.
mkuu hizi zote tunazozitaja ni kwa ajili ya Tv ambazo sio smart.tumekuelewa chief..ila jambo la mwisho chief je lazima utumie smart tv ? au tv ya aina yoyote ile..kwani watu wengi wanasema kama huna smart tv..huwezi kuona kitu.je kuna ukweli hapo? shukran
Vipi chief,mkuu hizi zote tunazozitaja ni kwa ajili ya Tv ambazo sio smart.
kwa smart tv huna haja ya cable, adapter au dongle, tv zote smart zina wifi, unachotakiwa kujua ni standard gani wanatumia kuna airplay, wireless display, miracast, DLNA etc ukishajua standard husika set simu yako then connect na tv utaona kitu cha simu kwenye tv.
zipo pia app kwenye store za simu umetafuniwa kama kuset itakusumbua, mfano TLC zinatumia ROKU unaenda tu playstore unadownload app yao maelekezo unayapata huko huko.
samsung wana smart view, zipo pia third party app nyingi tu
c8 haina miracast kama sijakosea hivyo utakuwa limited sana.Vipi chief,
Nimenunua anycast ambayo ina port ya HDMI lakini nimeshindwa kuunganisha na simu kwenye TV.unaweza kunisaidia ili simu yangu niione kwenye TV.simu ni tecno c8 na TV ni Samsung series 4
DNLA haitokei.c8 haina miracast kama sijakosea hivyo utakuwa limited sana.
vipi ukieka anycast kuna kitu kinaitwa DNLA kinatokea?
hakuna button ya kuswitch kwenye hio anycast? ukichomeka unaona nini kwenye screen?DNLA haitokei.
Kuna tokea maelezo ya jinsi ya kufanya configuration .WiFi inaconnect fresh ila tatizo ni simu kuonekana kwenye TV.hakuna button ya kuswitch kwenye hio anycast? ukichomeka unaona nini kwenye screen?
ingia playstore search dlna tafuta player nzuri utest kuplay hata video mojaKuna tokea maelezo ya jinsi ya kufanya configuration .WiFi inaconnect fresh ila tatizo ni simu kuonekana kwenye TV.
Shukrani chief ,wacha nicheki.ingia playstore search dlna tafuta player nzuri utest kuplay hata video moja
Jaribu KVDWadau nahitaji hii kifaa. Nitapata wapi hapa Dar? Kama unayo na huitumii naomba uniuzie.
View attachment 503156
mkuu hizi zote tunazozitaja ni kwa ajili ya Tv ambazo sio smart.
kwa smart tv huna haja ya cable, adapter au dongle, tv zote smart zina wifi, unachotakiwa kujua ni standard gani wanatumia kuna airplay, wireless display, miracast, DLNA etc ukishajua standard husika set simu yako then connect na tv utaona kitu cha simu kwenye tv.
zipo pia app kwenye store za simu umetafuniwa kama kuset itakusumbua, mfano TLC zinatumia ROKU unaenda tu playstore unadownload app yao maelekezo unayapata huko huko.
samsung wana smart view, zipo pia third party app nyingi tu
cable ipo mkuu ni kama shilingi 2000 au 3000 hivi maduka ya computer ipo kama hiviChief-Mkwawa, mkuu naomba kuuliza :
A). Kuhusu simu to TV display.. Umefahamisha kwamba kumbe kwa smart TV, hamna haja ya cable ili kuwatch playback kutoka kwenye simu. So, kwa smart TV aina ya SONY Bravia, inatumia standard gani for Wifi?
B). Huwa nawatch videos kwenye smart TV kwa kuchomeka flash kule nyuma ya TV. TV ipo fixed ukutani, so inakuwa usumbufu sana kila mara kuweka flash kule nyuma ya TV. Yaani ile weka toa weka toa inakera na kuchosha coz kaupenyo ni kafinyu sana kati ya ukuta na tv. Pia naona ni risk kwa TV kuishika shika kila mara ili kuchomeka flash kule nyuma.
Je kuna cable ambayo upande mmoja inameza flash disk, na upande mwingine inazama kwenye USB port? Yaani niwe naconnect flash disk to TV by using cable ndefu kiasi.
Ahsante
ndio hata kama sio smart utaona,Chief mkwawa digest kwetu inamaana nikitumia hiyo cable naweza one vitu vya kwenye simu yangu kupitia TV hata kama ni Samsung ambayo si smart TV ukitaka kupata HD one unanunua na specs zipi
cable ipo mkuu ni kama shilingi 2000 au 3000 hivi maduka ya computer ipo kama hivi
na kama una smart tv ya sony bonyeza input then chagua screen mirroring halafu na kwenye simu nenda setting then kwenye wireless and network chagua screen mirroring au cast, utaiona.tv then connect
kama huoni hayo maelezo nitajie exactly model ya simu na tv
kama king'amuzi kimoja hapo kina HDMI nunua waya wa HDMI then kimoja tumia huo wa AV na chengine HDMI.Shukrani sana mkuu. Kwa nyongeza, naomba unisaidie kwenye scenario hii pia:
Mfano nina ving'amuzi viwili tofauti. Deck ni hometheater lakini ina route moja tu (audio Ins & video out), yaani deck ina vcr-ports tatu (nyeupe, nyekundu, njano) tu na HDMI port moja. So hapo kutumia ving'amuzi viwili tofauti inalazimu badilisha chomeka ya kila mara. Mfano ulikuwa unacheki Zuku, then unataka ucheki Startimes, inalazimu kubadilisha chomeka vcr cables kwenye decki na tv.
Je kuna device ambayo inaweza ku-input ving'amuzi viwili au zaidi, na ika-output one route? So nakuwa na-switch tu pale kwenye device to opt either king'amuzi A or B, pasipo kubadilisha vcr cables kwenye decki na tv.
Ahsante
kama king'amuzi kimoja hapo kina HDMI nunua waya wa HDMI then kimoja tumia huo wa AV na chengine HDMI.
alternative nunua splitter, then chomeka ving'amuzi vyote kwenye hio splitter halafu waya mmoja utaenda kwenye deki/tv yako.
ukienda maduka ya tv au madishi zinapatikana kirahisi hizi splitter