Dar hii nitapata wapi USB-to-HDMI converter?

nunua kifaa kama hiki



kinauzwa kama dola 10 online na mitaani hapa bongo ni 60,000 kitaipa tv yako uwezo wa wifi na kuwasiliana na simu ili uweze kuona vitu vya simu kwenye tv
 
nunua kifaa kama hiki



kinauzwa kama dola 10 online na mitaani hapa bongo ni 60,000 kitaipa tv yako uwezo wa wifi na kuwasiliana na simu ili uweze kuona vitu vya simu kwenye tv
Inapatikana wapi chief.
 
Chief-Mkwawa mada hapa nimeielewa sijailewa.
Nifahamishe ni Cable gani/inaitwaje ambayo itaniwezesha
Smartphone yangu kuweza kuonekana katika TV. Yaani kinachoonekana ktk simu kidisplay katika TV.
Nipe jina la hiyo Cable na bei yake na wapi naweza kupata.
ndo bei zake nimeshanunua mimi mwenyewe mara nyingi tu
 
kuna mambo mengi mkuu, huyo wa juu ameulizia cable ya otg ambayo ndio 3,000

inayoonyesha kitu cha simu kwenye tv inaitwa MHL sema dukani we sema usb ya simu kwenda HDMI maana hilo neno MHL pengine hawalijui. bei ni 15,000 na sio simu zote zinakubali hio cable
 
Shukrani sana. Na ni maduka gani naweza kupata
Ya simu au Computer?
 
sawa mkuu chief...je unaweza kutusaidia aina ya simu ambazo zinakubaliana hicho kifaa? asante
 
Na je ntajuaje simu yangu inasapoti mhl cable ya pin ngapi.
Natumia Samsung SM-N750L
 
Na je ntajuaje simu yangu inasapoti mhl cable ya pin ngapi.
Natumia Samsung SM-N750L
ukiingia ile link utaona, wanaandika ni generation ipi ya MHL simu yako inakubali. cha muhimu simu yako iwepo kwanza
 
nimekupata, unanunua kwa pamoja au tofauti
Samahani kwa kukusumbua.
note 2 kupanda simu za samsung zinataka 11pin hivyo itabidi uwe na cable ya HDMI na adapter kutoka 5pin kwenda 11pin.



kipo kama hivyo.
 
tumekuelewa chief..ila jambo la mwisho chief je lazima utumie smart tv ? au tv ya aina yoyote ile..kwani watu wengi wanasema kama huna smart tv..huwezi kuona kitu.je kuna ukweli hapo? shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…