Gpu yenye HDMI tupe bei ya chin inakaaje??kvd mjini makunganya shilingi 120,000
pia kuna maduka morogoro road nimeziona 70,000 ila sio nzuri kama za kvd.
kama unataka kwa ajili ya desktop ni bora tu utafute gpu kuliko HDMI converter
mimi pia nilikuwa na desktop nikataka kuconect na tv kuulizia madukani hizo bei za HDMI to VGA converter zikanikatisha tamaa, mwisho wa siku nikanunua gpu yenye HDMi kwa 60,000 nikachomeka kwenye cpu.hapa mkuu sijakuelewa kabisa, nataka ya ku connect cpu yangu na my smart/flat tv.
80,000 mpya, amd 5450 na used chini ya hapo, inategemea mtakubaliana vipiGpu yenye HDMI tupe bei ya chin inakaaje??
Hii picha ya Chini haifunguki hebu iweke tenamimi pia nilikuwa na desktop nikataka kuconect na tv kuulizia madukani hizo bei za HDMI to VGA converter zikanikatisha tamaa, mwisho wa siku nikanunua gpu yenye HDMi kwa 60,000 nikachomeka kwenye cpu.
jaribu kuzunguka madukani ukipata around 50,000 kushuka sio mbaya.
pia uwe makini kuna waya ambazo sio converter hizi hazifanyi kazi zipo kama hivi
zipo kibao mjini around 10,000.
unayotakiwa kununua ni converter yenyewe itakuwa na kama kibox kwenye waya ipo kama hivi
Sawa mzee80,000 mpya, amd 5450 na used chini ya hapo, inategemea mtakubaliana vipi
Display port to Vga vp inaweza patkana???mimi pia nilikuwa na desktop nikataka kuconect na tv kuulizia madukani hizo bei za HDMI to VGA converter zikanikatisha tamaa, mwisho wa siku nikanunua gpu yenye HDMi kwa 60,000 nikachomeka kwenye cpu.
jaribu kuzunguka madukani ukipata around 50,000 kushuka sio mbaya.
pia uwe makini kuna waya ambazo sio converter hizi hazifanyi kazi zipo kama hivi
zipo kibao mjini around 10,000.
unayotakiwa kununua ni converter yenyewe itakuwa na kama kibox kwenye waya ipo kama hivi
hio converter inayopatikana duka la KVD ni kama box hivi lina port nyingi ikiwemo display port, HDMI, VGA etc zipo za display port.Display port to Vga vp inaweza patkana???
kama hiiHii picha ya Chini haifunguki hebu iweke tena
Kariakoo msimbazi Azania benki pale flow ya chini kabisa 0672852415Nenda kwa waganda nyuma ya jengo la China plaza utaipata
Mkuu Nashukurutecno ninavyofahamu hazikubali, kuangalia list ya simu za mhl nenda hapa
MHL– Devices
MHL ni kifupi cha mobile high definition link ni feature inawekwa kwenye usb ya simu ili uweze kuangalia content za simu kwenye tv au kifaa chengine cha HDMI kwa quality kubwa, picha yake ni kama aliyoweka mtoa mada juu na nyengine zinakuwa na waya wa kuchaji kama hii
kama unavyoiona upande unakuwa ni usb ya simu na upande ni hdmi.
Hiyo unayosema ipo kibao mjini ni Serial to HDMI? Maana nimetafuta Bongo Serial female to HDMI cable sikuweza kuipata. Nimeipata only USB to RS232 male na nilikuwa nahitaji hiyo nyingine piamimi pia nilikuwa na desktop nikataka kuconect na tv kuulizia madukani hizo bei za HDMI to VGA converter zikanikatisha tamaa, mwisho wa siku nikanunua gpu yenye HDMi kwa 60,000 nikachomeka kwenye cpu.
jaribu kuzunguka madukani ukipata around 50,000 kushuka sio mbaya.
pia uwe makini kuna waya ambazo sio converter hizi hazifanyi kazi zipo kama hivi
zipo kibao mjini around 10,000.
unayotakiwa kununua ni converter yenyewe itakuwa na kama kibox kwenye waya ipo kama hivi
bila converter? cable tupu? nimewahi ziona uhuru na msimbazi kuelekea uhuru na congo, kuna sehemu wanauza vifaa used vya console kama playstation.Hiyo unayosema ipo kibao mjini ni Serial to HDMI? Maana nimetafuta Bongo Serial female to HDMI cable sikuweza kuipata. Nimeipata only USB to RS232 male na nilikuwa nahitaji hiyo nyingine pia
Yes bila converter. Ni duka gani exactly?bila converter? cable tupu? nimewahi ziona uhuru na msimbazi kuelekea uhuru na congo, kuna sehemu wanauza vifaa used vya console kama playstation.
sio ndani ya duka, wanakuwa kama machinga fulani hivi, wanazipanga nje nenda na picha maana jina wanaweza wasilijue.Yes bila converter. Ni duka gani exactly?
Ahsante sanasio ndani ya duka, wanakuwa kama machinga fulani hivi, wanazipanga nje nenda na picha maana jina wanaweza wasilijue.
Iko wapi na bei ganiHDMI kwenda kwenye sim smart phone njoo ofisin kwetu
Hml ndio nini na utazijuajeehivyo vifaa vimejaa kibao aggrey ila zingatia haya
1. hakikisha simu yako ina mhl
2. ujue inasuport mhl version ipi, maana zipo nyingi na kila version ya mhl ina idadi ya pin zake tofauti kuna ya pin 5, pin 11 etc
mfano yako inakubali pin 11 ukanunua ya pin 5 itabidi utafute tena adapter ya pili ya pin 5 kwenda 11.
mimi yangu nilinunua makutano ya aggrey na likoma yale yenye acessory za simu.
ninayo converter kama hiyo ya HDMI-VGA nilitumia mwezi na nusu baada ya kupata desktop yenye GPU hiyo nikaiweka ndani, kama unahitaji kweli nicheki humo 0718334325Wadau nahitaji hii kifaa. Nitapata wapi hapa Dar? Kama unayo na huitumii naomba uniuzie.
View attachment 503156