Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,812
- 11,987
Grace maana yake Neema. Wapo wanaoitwa Rose na mtaani anazoeleka kama Waridi.Kule kwingine wamemtaja kama Neema, nani mwongo hapa achukuliwe hatua kwa kupotosha ukweli
π
Amchoma mumewe na petrol kisa wivu wa mapenzi...
Kule kwingine wamemtaja kama Neema, nani mwongo hapa achukuliwe hatua kwa kupotosha ukweli
π
Amchoma mumewe na petrol kisa wivu wa mapenzi...
Hili la utambulisho lisikudanganye- hawa viumbe wanautambulisho tofauti kila mtaaKule kwingine wamemtaja kama Neema, nani mwongo hapa achukuliwe hatua kwa kupotosha ukweli
π
Amchoma mumewe na petrol kisa wivu wa mapenzi....
Huyo mwanamke mpumbavu kweli yaani unaua kisa wivu utafkiri aliolewa akiwa bikra kumbe mzigo ndazaKUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25)...
Polisi wametumia jina la Kiingereza mtaani wametumia la KiswahiliKule kwingine wamemtaja kama Neema, nani mwongo hapa achukuliwe hatua kwa kupotosha ukweli
Amchoma mumewe na petrol kisa wivu wa mapenzi....
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25)...
ILIKUWAJE? HEBU TUPE KISA KIDOGOKuna jamaa alimchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa.
Tukiambiwa kisasi cha mwanamke ni funga kazi tuelewe...
Kama kweli ana umri wa miaka 25 basi sura yake tu inaonyesha mastressss mpaka filters zimegoma mpaka kaota kipara.Kule kwingine wamemtaja kama Neema, nani mwongo hapa achukuliwe hatua kwa kupotosha ukweli
π
Amchoma mumewe na petrol kisa wivu wa mapenzi...