The Khoisan JF-Expert Member Jun 5, 2007 15,400 12,984 Dec 21, 2010 #1 Kuna taarifa kuwa basi la Dar Express linawaka moto hivi sasa huko Kitumbi na kuna Lori laamguka na kufunga barabara. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
Kuna taarifa kuwa basi la Dar Express linawaka moto hivi sasa huko Kitumbi na kuna Lori laamguka na kufunga barabara. Mwenye taarifa zaidi atujuze.
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Dec 21, 2010 #2 oh my my...in God we trust......God forbid........jamani mwenye taarifa atujuze zaidi
Shapu JF-Expert Member Jan 17, 2008 2,111 790 Dec 21, 2010 #5 RayB said: Sidhani kama ni habari ya kisiasa hii Click to expand... Umenichekesha kweli. Sijui kama ulimaanisha unachomaanisha!
RayB said: Sidhani kama ni habari ya kisiasa hii Click to expand... Umenichekesha kweli. Sijui kama ulimaanisha unachomaanisha!
RayB JF-Expert Member Nov 27, 2009 2,751 196 Dec 21, 2010 #6 Shapu said: Umenichekesha kweli. Sijui kama ulimaanisha unachomaanisha! Click to expand... I meant it and still mean it, si unaona ipo jukwaa la kisiasa?
Shapu said: Umenichekesha kweli. Sijui kama ulimaanisha unachomaanisha! Click to expand... I meant it and still mean it, si unaona ipo jukwaa la kisiasa?
jino kwa jino JF-Expert Member Nov 3, 2010 783 170 Dec 21, 2010 #7 Shapu said: Umenichekesha kweli. Sijui kama ulimaanisha unachomaanisha! Click to expand... ndio anamaanisha
Shapu said: Umenichekesha kweli. Sijui kama ulimaanisha unachomaanisha! Click to expand... ndio anamaanisha
STEIN JF-Expert Member Aug 29, 2010 1,770 553 Dec 21, 2010 #8 RayB said: Sidhani kama ni habari ya kisiasa hii Click to expand... wewe uansiri siasa tu huna lingine.
RayB said: Sidhani kama ni habari ya kisiasa hii Click to expand... wewe uansiri siasa tu huna lingine.