Mbarali, Mbeya: Kuna taarifa zinadai kuna lori linawaka muda huu

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,116
Taarifa zinaeleza kuwa maeneo ya Igawa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, mda huu kuna Lori la Mafuta linawaka moto. Inadaiwa kuwa ni kampuni ya Mount Meru.

=====
Gari lenye tenki la mafuta limelipuka na kuwaka moto katika Mji wa Igawa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya majira ya saa 3:00 usiku wa leo Julai 6, 2023.

Gari hilo lilikuwa likitokea jijini Dar es salaam kuelekea mkoani humo na lililipuka baada ya moja ya tairi la tenki hilo kupasuka.



 
Niko hapa mbarali, Hakuna lori linawaka zaidi ya Taa.
Hilo lori lilishaamka limeenda zake.
 
Back
Top Bottom