Dar express inaungua Wami?

Dar express inaungua Wami?

Wapuuzihawa washazoea picha zangono weajali wami pochanpatewapi.ngonokilamtu atumiwa
 
ina maana wewe ni mgeni na sheria ya makosa ya mitandao, sasa subiri iungue kwako maana umetoa taarifa za uongo.
 
Niona kwenye bio ya Millard ayo insta but sijajua bas gan but ni breaking news.
 
ni kweli limeteketea lote ukiingia millardayo.com utaona picha likiungua
 
Duh! Wami noma naona kwa dar express kama kweli linaungua maana hii ni second time itakua
 
DX-5.jpg
 
Dar express likiteketea
 

Attachments

  • 1431183181624.jpg
    1431183181624.jpg
    34.5 KB · Views: 399
Pole ndugu marafiki na jamaa waliopata ajali.
 
Tuliikuta njiani inafuka Moshi tu ilikuwa haijaanza kuungua nashangaa kuiona imelipuka moto kabisa.
 
ilikuwa ya route ya wapi

Ilikuwa inatoka Dar kwenda Arusha,chanzo cha moto ni jam ya tairi na majeruhi ni dereva tu alieingia chini akjaribu kuzima moto kwa fire extinguisher ndio tairi ikapasuka ila woote walitoka salama.
 
Back
Top Bottom