Mzee Mremi wa Dar express binti yako uliyemuweka pale Shekilango anakimbiza wateja

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,197
Nilikuwa mteja wao mzuri sana wa kupanda basi zao Arusha,Nairobi Rombo ndio ulikuwa usafiri wangu na kusafirisha parcels kila kitu

Sasa juzi kati hapa kuna binti inasemekana ni mtoto wa kwanza wa mzee ndio kawekwa ofisini pale yule dada inshort hajui biashara kabisa yaani ndio naamini kwa nini watoto wa kihindi wakiachiwa biashara hazifi ila watoto wa kiafrica wakiachiwa mali zinakufa

Nimeenda leo na kiparcel kidogo tu thamani haizidi hata 40,000 kinaenda Nairobi kufika pale nikaambiwa na huyo mtoto wa boss kusafirisha 25,000 hadi Nairobi , nikasema basi naomba nilipe 20,000 nisaidie , nikashangaa hela yangu imewekwa pembeni kwa nyodo yani hadi wasaidizi wake pale wameshika mdomo ndio hivyo wafanyeje

Ikabidi nielekezwe na watu wa pale pale kwa siri, niende Tahmeed , kwenda Tahmeed pale nikaambiwa 10,000 tu tena wanatoa risiti za electronic, kwa namna hii Dar express wasipobadilika kampuni itakuja kuwafia mikononi kama meridian ni swala la muda tu

Pia niwashauri watu ambao mna makampuni humu msipende kuweka ndugu ofisini mkiwaweka watawaulia kampuni ,hamna watu wanaofanya kazi kwa nyodo kama ndugu maana wanajua hamna wakuwafukuza.
 
Wengi wasichokijua ni kuwa kumpata mteja ni kazi ngumu saana, ila kumpoteza ni suala la dakika chache tu.

Na huyo mteja unayempoteza tegemea akupotezee wengine.

Kwa scenario kama hii unadhani nikiwa na uhitaji wa kutuma mzigo nitaenda hapo Dar Express.
 
Bro kwa mwaka jana hawa jamaa nimeshatuma parcel karibia 100 kwenda Arusha moshi kupitia basi zao bado kusafiri ila leo nimewakimbia

Pale walikuwepo watu wastaarabu mzee kawatoa kamweka binti yake huyo binti ndio mafia sasa ,hajui biashara akisema su ni su hapangui
 
Pale sirudi tena bro, now ni kilimanjaro,Tahmeed ,marangu coach waache wajiachie anguko linakuja
 
Bro kwa mwaka jana hawa jamaa nimeshatuma parcel karibia 100 kwenda Arusha moshi kupitia basi zao bado kusafiri ila leo nimewakimbia

Pale walikuwepo watu wastaarabu mzee kawatoa kamweka binti yake huyo binti ndio mafia sasa ,hajui biashara akisema su ni su hapangui
mara nying wanakuwa na inferiorty complex ile halinya kutojiamin.na kukichkulia ni.mtoto wa mwneye mali so unakuta.kisaikolijia mtu anakua na maukal ukal
 
Bro kwa mwaka jana hawa jamaa nimeshatuma parcel karibia 100 kwenda Arusha moshi kupitia basi zao bado kusafiri ila leo nimewakimbia

Pale walikuwepo watu wastaarabu mzee kawatoa kamweka binti yake huyo binti ndio mafia sasa ,hajui biashara akisema su ni su hapangui
Hao wastaarabu kuna uwezekano walikuwa wanamuibia ndyo maana kamweka binti yake.

Hiyo binti nae hajirekebishe la sivyo kampuni itafia mikononi mwake.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
siku zote usipokuwa na Customer care nzuri lazima biashara ife.na watoto wa matajiri waliofanikiwa kusimamia biashara za nyumban kwao zikawa hai na kuzidi mitaji ni wenzetu ngozi nyeupe.very discipline minded
Akina MO Hao na kina Yusuph Bhakressa!

Sie blak mamba tunaona sifa kuvimbia wateja wakati wao ndio wanafanya kampuni iendelee kuwepo na kutupeleka chooni toka tupo Ng'a..aaah mpaka tumekua!
 
Nilikuwa mteja wao mzuri sana wa kupanda basi zao Arusha,Nairobi Rombo ndio ulikuwa usafiri wangu na kusafirisha parcels kila kitu

Sasa juzi kati hapa kuna binti inasemekana ni mtoto wa kwanza wa mzee ndio kawekwa ofisini pale yule dada inshort hajui biashara kabisa yaani ndio naamini kwa nini watoto wa kihindi wakiachiwa biashara hazifi ila watoto wa kiafrica wakiachiwa mali zinakufa

Nimeenda leo na kiparcel kidogo tu thamani haizidi hata 40,000 kinaenda Nairobi kufika pale nikaambiwa na huyo mtoto wa boss kusafirisha 25,000 hadi Nairobi , nikasema basi naomba nilipe 20,000 nisaidie , nikashangaa hela yangu imewekwa pembeni kwa nyodo yani hadi wasaidizi wake pale wameshika mdomo ndio hivyo wafanyeje

Ikabidi nielekezwe na watu wa pale pale kwa siri, niende Tahmeed , kwenda Tahmeed pale nikaambiwa 10,000 tu tena wanatoa risiti za electronic, kwa namna hii Dar express wasipobadilika kampuni itakuja kuwafia mikononi kama meridian ni swala la muda tu

Pia niwashauri watu ambao mna makampuni humu msipende kuweka ndugu ofisini mkiwaweka watawaulia kampuni ,hamna watu wanaofanya kazi kwa nyodo kama ndugu maana wanajua hamna wakuwafukuza.
KEYWORDS: Wakashika mdomo, kwa siri.
NB: Biashara huria Kama vp tambaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom