Dar es Salaam

Dar es Salaam

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
2,408
Reaction score
3,196
Ila Dar es Salaam mji wa maigizo sana,
hakuna vichaa wala ombaomba barabarani.
 
Vichaa hawana akili lakini ikifika kwenye kifo kidogo ukichaa unawatoka!
 
Watu wanaishi kwa hesabu kataka hili jiji, muda huu ombaomba wametulia katika mijengo yao wanawazoom tu kwa Televishini kama maboss zao mtatoka mkafe au vipi!
 
Waliwapiga risasi wakawamaliza Oct 29 - Nov 3, risasi haina macho
 
Back
Top Bottom