Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

Sasa kama kukubali ni maamuzi ya mtu kwa nini unalazimika kuniambia kuwa ni polisi wamesema?Kama kukubali ni hiari ya mtu kubali wewe mwenyewe huko,mimi naamini walichosema polisi ni tuhuma tu na wala siyo fact kwa sababu hakuna ushahidi wowote.
Hiyo ni wewe
 
Eti Mimi nilijua tuu hatutoboi kwa hili mbanga linalopigwa hatutoboiii

😂😂😂😂😂😂😂
Maandamano ya wananchi siku zote na popote huwa yanatoka mioyoni mwao, na mioyo ya watanzania haitamani kabisa maandamano

Hili la kuwashawishi vijana kufanya uharibifu ni la vibaraka ili wapate ushahidi anaoutaka amstadam limeshawaharibia na ni uhuni
 
Je Elimu yetu has been crafted to make us lame, weak, timid, meek and subservient? Kwa nini tunakuwa wepesi kujisalimisha hasa haki inapoporwa Kibabe? Kwa nini tumekuwa na woga hata kuongea na kupigia kelele wizi huu wa kura na uchaguzi? Nani katufanya bubu, viziwi na vipofu?
Pole sana. Tatizo lako unatakakutubebesha watanzania wote. Umebugi na terminology zako hizo za kizungu.
 
Haki gani iliyoporwa kibabe? Didn't you vote na je kama ulivote kuna mtu alikushikia bunduki kichwani kutaka uvote for whom you don't want? Wananchi tulishaamua kuwa wapinzani ni wapuuzi na hatukuwataka, unalia nini? We umeona wapi kama si ujinga, mtu amechaguliwa na wananchi wake akawawakilishe bungeni, mwakilishi anenda bungeni eti anaenda kubishana na kumkashifu rais badala ya kujenga hoja ya maana. Wapinzani hawana akili.
Binti yangu nina alergy na vilaza, kaa mbali na comment zangu nisije nikakufilimba.
 
Back
Top Bottom