greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,228
tutaangazia zaidi maeneo na vivutio vilivyo nje ya Wilaya ya Ubungo,Temeke na Kigamboni.
Karibuni Dar es salaam
Samahani,nili azimia kuandika ndani...Vivutio vilivyo NJE ya wilaya ya ubungo,Temeke na Kigamboni
Kwa hiyo tunaongelea Kinondoni na Ilala
Ni Tsh 50,000 mkuu...Kisiwa kama hiki Bei gani??
Kwamba??........Ni Tsh 50,000 mkuu...
Nitaja Tembelea Siku Moja Inshallah Endelea Kumwaga sela Tupate MadiniKISIWA CHA SINDA:IKata : Kibada
Wilaya : Kigamboni
Historia : Ni moja kati ya visiwa vinne vilivyopo katika Pwani ya Kusini mwa Dar es Salaam.Kilifikiwa kwa mara ya kwanza na Ibn Majid mwaka 1470.
Hakuna makazi ya watu kisiwani.
Kisiwa kina
Utafaidi :
- Fukwe zenye mchanga mweupe
- Msitu,Mibuyu ,
- Ndege na
- Uoto wa mikoko
- Mazaria ya samaki na matumbawe
- Mgahawa
View attachment 2975327
- Kuogelea
- Canoeing
- Picnic
- Utembezi kwenye msitu
- Kuona ndege
- Kuona gofu
- Kula vyakula vya baharini
Mtalii ndani ya Fukwe ya Sinda
View attachment 2975328
Pango ufukweni
View attachment 2975331
Ndege kwenye msitu wa Sinda
View attachment 2975334
Watalii ndani ya Sinda
View attachment 2975336
Gofu katika Kisiwa cha Sinda
View attachment 2975340
Hapa ni Sinda wala si Maldives
View attachment 2975341
View attachment 2975343
Msosi mtamu
View attachment 2975344View attachment 2975345
Unafikaje :
Gharama :
- Kutokea Makumbusho Chukua usafiri mpaka Kivukoni,panda pantoni na uvuke ,fika stendi ya feri
- Kutokea Karume Panda basi ya Kigamboni pitia daraja la Nyerere na ushuke mwisho wa route,ambapo ni stendi ya feri.
- Panda gari ya Kibada/Cheka ,Ushuke njia ya kwenda kipepeo beach.
- Hotel ya Kipepeo kuna usafiri wa boti kwenda Sinda
Usalama : 95 %
- Nauli : Daladala ...3,000
- Boat+Chakula....50,000
Mda : saa 4:30 asubuhi - 10:30 jioni.
Hapo kuna gharama ya boti kutokea kipepeo beach kwenda Kisiwani na KiingilioKwamba??........
Wow!!!KISIWA CHA SINDA:IKata : Kibada
Wilaya : Kigamboni
Historia : Ni moja kati ya visiwa vinne vilivyopo katika Pwani ya Kusini mwa Dar es Salaam.Kilifikiwa kwa mara ya kwanza na Ibn Majid mwaka 1470.
Hakuna makazi ya watu kisiwani.
Kisiwa kina
Utafaidi :
- Fukwe zenye mchanga mweupe
- Msitu,Mibuyu ,
- Ndege na
- Uoto wa mikoko
- Mazaria ya samaki na matumbawe
- Mgahawa
View attachment 2975327
- Kuogelea
- Canoeing
- Picnic
- Utembezi kwenye msitu
- Kuona ndege
- Kuona gofu
- Kula vyakula vya baharini
Mtalii ndani ya Fukwe ya Sinda
View attachment 2975328
Pango ufukweni
View attachment 2975331
Ndege kwenye msitu wa Sinda
View attachment 2975334
Watalii ndani ya Sinda
View attachment 2975336
Gofu katika Kisiwa cha Sinda
View attachment 2975340
Hapa ni Sinda wala si Maldives
View attachment 2975341
View attachment 2975343
Msosi mtamu
View attachment 2975344View attachment 2975345
Unafikaje :
Gharama :
- Kutokea Makumbusho Chukua usafiri mpaka Kivukoni,panda pantoni na uvuke ,fika stendi ya feri
- Kutokea Karume Panda basi ya Kigamboni pitia daraja la Nyerere na ushuke mwisho wa route,ambapo ni stendi ya feri.
- Panda gari ya Kibada/Cheka ,Ushuke njia ya kwenda kipepeo beach.
- Hotel ya Kipepeo kuna usafiri wa boti kwenda Sinda
Usalama : 95 %
- Nauli : Daladala ...3,000
- Boat+Chakula....50,000
Mda : saa 4:30 asubuhi - 10:30 jioni.
Inshaallah...Nitaja Tembelea Siku Moja Inshallah Endelea Kumwaga sela Tupate Madini
Tayari mkuu, njoo ujionee...Sasa mbona haujataja hivyo vivutio hata kimoja mkuu 😎
Tayari ishawekwa sawa....Hio intro bado
Unataka kukinunua?Kisiwa kama hiki Bei gani??
Mwananyamala haipo Wilaya ya Temeke,Ubungo wala Kigamboni...Mbona hujapaongelea mwananyamala kwa Choma, dela muda wote lipo katikati ya kalio
YapUnataka kukinunua?