Dar es Salaam Usiku

Jk huwa amelala, bendera imeshushwa, mitutu imehifadhiwa amara, serikali ya usiku inachapa kazi.- inakera sana.
 
ambience pananifurahisha usiku,..pale nje unapata dada mkali iwapo angekuwa hajiuzi usingeweza kulala naye maisha yako yote duniani...
 
foleni hupungua kuanzia sa 7 hivo unapiga ruti weeeeeee then asubuhi ikifika unaenda kulala unawapisha wengine wahangaike na foleni
 
Napata muda mzuri wa kuuguza maumivu ya maisha magumu huku nikijiandaa kwa mapambano dhidi ya mashetani ya ccm
 
Kukatika kwa umeme na kuwapa nafasi vibaka kukata dirisha na kuvua simu ya mchina yeneye thamini ya 20,000/= na baada ya miaka 5 niliyokaa nayo ina thamani ya 4,000/=
 
nilivyoona title nikajua labda ni simulizi za ile riwaya ya "Dar es Salaam Usiku"
 
kinacho niudhi ni masaki na osterbay kunanuka usiku. kinacho nifurahisha usiku tunaokota wadudu kilahisi sana mitaa ya aga khan na kwa sokota. mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom